Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Akina Zaha, Benteke, Townsend na wengineo wanapiga pasi za kazi na Arsenal hujikuta kiidadi kati ya mabeki wa Arsenal na washambuliaji wa CP utaona Arsenal wana khali mbaya
 
Commentators wa SKYSPORT ONE wanawalaumu mabeki wa Arsenal kwa kufungwa na Townsend
 
Crystal Palace walipiga pasi tano langoni mwa Arsenal bila kupatiwa majibu na Arsenal yanayoeleweka
 
Arsenal wanachukua muda kujenga mashambulizi na kusawazisha kwa mkakati huu labda kwa maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…