Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mwaka huu unaangalia game pembeni ukiwa na ndovu bila pressure
 
Wakuu wa Gunners kama ada vijana wanaanza mtanange in few hours, kila mburukenge yupo gado anakodolea mechi yetu, Alexis atapata some minutes, Ox yupo vile vile Rambo Ozil et al, mwaka huu tutawanyoa tu, hata kama hawataki. Bring them on .... ..... .... Ding ... ... Dong.
COYG
 
Reactions: Mbu

Ding Dong
 


Bring them on .... .... ..


BTW under 19 wamechukua kikombe kule Durban SA
Benzima yupo kwenye Radar tayari negotiation zipo kwenye advanced stage £35 million plus £120,000 a week salary. Benzima amewaomba Real aje Gunners ..... .. chijui Salamander hizi habari atazichukuliaje .... .... . Prof hajafunga pochi akiringa tutamjaribu Reus tuone kama hataki kutua Emirates .... .... .
 
Habar zenu watu wangu wa nguvu, tutakuwa pamoja kuzungumzia team yetu ya arsenal
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…