Duh,leo hapa nilipo nina machungu ya Yanga ila naamini arsenal wataniondolea.....
kwa sasa ipo nafasi ya 6,hawa watu wana stress uliza kama unawasifia vileasernal iko nafasi ya ngapi?
Hongereni
Arsenal 1-New Castle 0
Dk 15
Hili game leo tunatoka
kwa sasa ipo nafasi ya 6,hawa watu wana stress uliza kama unawasifia vile
LoL!!!! Stress ya nini hata hatujafika nusu ya michezo yote ya msimu Mkuu!?
nusu ni kesho kutwa,shukuruni liverpool wameporomoka,mtakuwa big 4
Mkuu kila timu inatakiwa kucheza mechi 38, mpaka sasa hivi timu zote zimecheza mechi 15 au 16, nusu kama sikosei itakuwa December 28th ambapo kila timu itakuwa imecheza mechi 19 ambazo ni nusu ya mechi 38.