Wakuu wa Gunners sisi ndio watetezi wa kombe la FA cup ambalo
wiki hii lilipelekwa kule South Pole kuonana na hawa viumbe maarufu
... . Penguins
Chelsick walitoka mfuto yaani mrisi ... .Zero hawana cha kutetea
chochote mwaka huu na watatoka mfuto
kama kawaida yao khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aaron Ramsey aka Rambo ndiye aliyetikisa nyavu za Hull City
kwa goli la ushindi mnono ... ... ..
Baadaye leo jioni tukutane pale Emirates kama ada wakati tunawakaribisha vijana kutoka North New Castle ... ... kick off 5:30 GMT .... .. patamu hapo!
wakuu mtange wa leo utakuwa mgumu sana ukizingatia nyuma tuna majeruh wengi kweli but all in all kila lilo kheri kwa Gunners na natumai ushindi utapatikana.