Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa Masaa haya machache Wenger naona kawa Saint, hajaguswa kabisa. Soccer soccer πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
 
Reactions: Nzi
Hatudanganyiki,wanger out(sitashangaa podo akianza jmos)
 
Hongereni wakuu naona mnazidi kupasua UEFA.

Cc BAK
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

Tunune nini sasa wakati hatumo humo,ingekuwa labda EPL ndo tungenuna,nyie pasueni tu huko UEFA sisi tunawapigia makofi .
 
Wakuu wa Gunners draw ya CL Jumatatu nasikia Manure nao wamo khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Loh!! Ushindwe na ulegee hapo hapo ulipo,usipoitaja Man U husikii raha kabisa,utatuona hivi hivi wenzako tunazidi kusonga mbele.
 
Ahsante sana, tunatesa kwa zamu I just wish we had a similar results on our last EPL match a week ago πŸ™‚πŸ™‚

Hahahaha!! Kweli kutesa kwa zamu,pole sana we kazana huko UEFA huku EPL sisi tunataka kurudisha heshima kidogo maana dharau zilizidi mno.
 
Hmmmmm!!! Kwa mpira mliocheza juzi heshima yenu mtaisubiri sana, pamoja na ushindi mnono lakini mlikuwa midebwedo tu si wale MANU tuliowazoea kuwaona wakitandaza soka la uhakika.

Kidogo kidogo tunapiga hatua si unajua tena kujenga kazi kuliko kubomoa.
 
Reactions: BAK
Ni kweli, nilikuwa naangalia michezo yenu iliyobaki mwezi huu mingi si rahisi, ngoja tuone kama inaweza kutoonyesha if you're on the right path or still midebwedo.

Kidogo kidogo tunapiga hatua si unajua tena kujenga kazi kuliko kubomoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…