Arsenal Ni Ugonjwa wa Moyo

Arsenal Ni Ugonjwa wa Moyo

Joined
Mar 12, 2017
Posts
13
Reaction score
6
Kuna daladala nimepanda dereva amevaa jezi ya Arsenal. Imebidii nishuke sababu najua hatutafika mbali.

 
Arsenal kama kifurushi cha linachacha..!
 
wenger chapa kaz
wenger hakuna,aliyekuchukulia form pale asernal
wenger hakuna wa kukupangia kikos,chapa kaz
wenger hata usipochukua kombe,we chapa kaz
wenger usibabaike,na mabango,ya mashabik,we chapa kaz tuuuuuu
wenger hakuna shabiki,wa kukuchagulia siku,ya kustafu,wew chapa kaz tu
 
tapatalk_1487231747906.jpg
 
Kuna demu juzi nimempata katika mazungumzo akadai anatoka nyanda za juu hao huwa hawachelewi kutafuta kamba (maskhara )kidogo nikawa nimepooza baada ya utambulisho huo tukabadili hadithi na kuanza kuongelea michezo akanihakikishia ni mshabiki wa arsenal nikashangaa nikamuuliza toka lini akasema toka anasoma sekondari kama miaka 8 iliyopita na hana mpango wa kuhama nikajaribu kumuhoji anawajua wasifu wa wachezaji wengi wa arsenal kifupi ni mwanamichezo basi nikasema hapa hapa huyu simuachi ana uvumilivu wa kutukuka.
 
Back
Top Bottom