Arsenal - New Era at the Emirates

Status
Not open for further replies.
Good job Arsenal against Man City, hongereni watani🙂)) siyo lile litimu la darajani, likishinda hakulaliki kwa matusi...
Mbu usifanye sherehe, ligi bado inaendelea ha ha
 
Good job Arsenal against Man City, hongereni watani🙂)) siyo lile litimu la darajani, likishinda hakulaliki kwa matusi...
Mbu usifanye sherehe, ligi bado inaendelea ha ha

...mnh, naomba kwanza kuondoa shilingi...Avatar hii
haikupendezi.

Wewe sio HAMAS bana,
Kama hujaweka ile ya mguu, au mdomo sirudishi shilingi...

:thumb:thanx kwa pongezi ila mnh, hayo mawe unayoyatupia darajani mnh! hehe...!
 
...mnh, naomba kwanza kuondoa shilingi...Avatar hii
haikupendezi.

Wewe sio HAMAS bana,
Kama hujaweka ile ya mguu, au mdomo sirudishi shilingi...:thumb:

Hii ya chadema si ya Hamas kwa hiyo rudisha tu hiyo shilingi.:A S kiss: angalia mdomo huu
 
...mnh, naomba kwanza kuondoa shilingi...Avatar hii
haikupendezi.

Wewe sio HAMAS bana,
Kama hujaweka ile ya mguu, au mdomo sirudishi shilingi...

:thumb:thanx kwa pongezi ila mnh, hayo mawe unayoyatupia darajani mnh! hehe...!

Basi nitaiondoa nibaki avatarless,ha ha
si unajua mchecheto wa kupiga kura, yani kadi nilivyoikumbatia natamani J2 ifike chapchap..
Ahh bwana wee mpira uligeuka mipasho na hayo madaraja yenu..teh teh..sasahivi mi natoa thanx si mshabiki wa timu yoyote EPL..
 
Hii ya chadema si ya Hamas kwa hiyo rudisha tu hiyo shilingi.:A S kiss: angalia mdomo huu

...really? power to the people? haya....narudisha thumni kwanza mpaka BJ ataporudisha ile Avatar yenye lips zinazotoa udenda wa damu.

BJ,...."People's Power!" kwa pamoja!
 

...pls bana?!
 

Usiiondoe BJ mimi naihusudu sana inakupendeza na kuendana na jina lako.😛eace:
 


Hakikisha unalala nayo maana thithiem wanaweza kutuma majambazi na kutochokua chochote kingine bali card yako ya kupigia kura na pia hakikisha jina lako liko katika list ya majini kwenye kituo chako cha kupigia kura. Chagua Chadema, Chagua Rais Mtarajiwa Dr Slaa
 
Usiiondoe BJ mimi naihusudu sana inakupendeza na kuendana na jina lako.😛eace:

Thenkyuu mfalme, lazima kieleweke jumapili..:smile-big:



Mkuu yani hata kukwapuliwa pochi na vibaka najihadhari sana vinginevyo nitakosa kitu muhimu sana j2..hivi hamna mechi yoyote siku hiyo kusindikiza ladha ya uchaguzi?
Jina liko kwenye listi ila naendelea kucheki mana nisijekuta jumamosi halionekani, nitasikitika sana na hiyo michezo yao hao majambazi..
Usisahau kupiga kura na wewe!!!peace
 
....si uibandike wewe basi utuachie sie "BJ's lips?"

he he kweli huipendi,lol..akikubali The King nitabadilishana nae!!
Hiyo pic ya juu, I hope they are back for real siyo kubeep jamani..namwona Walcott hapo,aawww!!!
 
....si uibandike wewe basi utuachie sie "BJ's lips?"


Hapana Mbu mwache tu BJ aitumie akiichoka atakurudishia zile lips zake zinazokupagawisha. Inadaiwa ullishamuuliza shem kwani huwezi kutengeneza lips zako kama BJ? :A S kiss:
 

Mie hata nikiwa hoi bin taabani lazima nipige kura tu nitajikongoja hivyo hivyo hadi nifike kituoni. Unaweza kupia jumamosi ukakuta majamnazi wamelifuta jina lako.
 
Cesc: You'd have lost with 15
 

 
TAUNT ... Cesc Fabregas ​
 
CESC FABREGAS taunted Manchester City and said: We'd have beaten you even if you'd had 15 men.
Roberto Mancini's title chasers were a man down after just five minutes following defender Dedryck Boyata's red card. And although they put up a spirited fight, the Gunners eventually took control and romped to a 3-0 win.

Cesc siku hizi kaamua kuwapa maneno bila haya ... .... .... wapinzani jinyongeni ... ... Kutokana na mechi ambazo zinakuja kwa karibu tunaweza kuwarudisha tena Robin Van Persie na Thomas Vermaelen mwezi ujao Theo Walcott ndio kama alivyonyoosha misuli kwa City pamoja na Nicklas Bendtner. Samir Nasri anarudisha mpira wake kabla hajaumia hivyo mambo siyo mabaya sana tuwaombee ukame wapinzani tu chacha waendelee kuchechemea. Khe khe kheee.
 





Cesc Fabregas and Arsene Wenger​

Wasilie tu baada ya miaka sita kama wanavyomlilia Cesc.
 


Song na Sagna wote kono nyuma wanamsanifu jamaa akionyeshwa card. Hii ndio card ambayo Mansour ilimnyima usingizi jana.​
 
'Faultless' Lukasz Fabianski looks like Arsene Wenger's No1





Saving grace: Lukasz Fabianski makes a stunning save
from Emmanuel Adebayor






Smiles better: Samir Nasri (left) congratulates Nicklas Bendtner
after the Dane came off the bench to score Arsenal’s third goal





Victory: Arsene Wenger shakes hands with Roberto Mancini
after his side moved second in the Premier League​
 
Inaweza kuwa sababu au isiwe sababu pia,timu nyingi tu zinacheza pungufu na zinashinda mechi,last week kuna timu ilikuwa one man down lakini ikaweza kuscore 3 second half goals.Kubali kuwa siku hiyo Arsenal walikuwa vizuri and they deserved it. Source ya red card inaweza kuwa ni kuzidiwa pia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…