Prof amesisitiza kwamba jembe la uhakika RVP haendi kokote hadi amalize mkataba wake mwakani ..... .. hivyo wanoko wa Mancs walie tu na million moja yao kwa mwezi hadi msimu ujao .... ... no chance to disrupt our season this time.
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hapo ndipo unapofahamu unafiki wa Invisible na kundi lake la Mungiki brothers, chacha ushindi wa chelsiki kwa kutumia rupia unahusiana nini na Gunners? At least they know who is the boss in London baada ya kukung'utwa kama gunia kwa magoli matano kwenye cowshed yao. Ingekuwa Wacha1 wangemfungia lakini kwa sababu they are one and the same thats ok. Don't worry boys we are the Gunners na kila siku mnapofungua hii thread mnaumia mpaka kwenye mfupa I know how you feel insecurity.
Viva Gunners forever and then the season is around the corner ... ... watch this space .... ....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.