Arsenal - New Era at the Emirates

Arsenal - New Era at the Emirates

Status
Not open for further replies.



zp_Pitch_Marking_2_110727PAFC_7424.jpg




zp_Pitch_Marking_6_110727PAFC_4206.jpg




zp_Pitch_Marking_16_110727PAFC_9833.jpg




zp_Pitch_Marking_13_110727PAFC_2814.jpg



Mambo mswano ngoja tuchubiri kitale ... .... ...
 
mata_1351718a.jpg



MAT FINISH ... Gunners hope to tie up Juan Mata deal


Kijana machachari kutoka Spain ambaye wazazi wake walikuwa London jana zinaashiria winger huyu machachari kutua Emirates kama mambo yote yatakwenda mswano.


 




WENGERSPLASH_1352372a.jpg



Wenger amshukia Cesc na kumwambia Barca hawana £40 million
za kumnunua vile vile hawamchukulii kama ni mchezaji nyota
ni wakati wa kusuka sasa - verdict By monday .... ....
 
gun__1311586111_walcott_cologne.jpg


Theo atakuwa fit kuanza campaign ya mwaka huu .... ...



Emirates cup

Jumamosi

2pm - New York Red Bull v Paris St Germain

4.20pm –
Arsenal v Boca Juniors

Jumapili

2pm – Boca Juniors v Paris St Germain

4.20pm –
Arsenal v New York Red Bull
 
The prof. amewakubalia Barca wamchukue Cesc lakini ni lazima deal nzima imlete Thiago Alcantara pale Emirates, chacha naona Barca wanagwaya maana huyu dogo 20 years old ana mkataba wa miaka 4 tu na ni juzi tu alisaini na Barca .... .... ... ..... ...... ..... naona hapo ndipo pamekolea utamu.


800632052_14026959-596x362-1311494542904_304x185_inline.jpg


Thiago Alcantara

Dogo Mzuri sana,niliona Goli zake against Bayern Munich kwenye Audi Cup final zilikuwa goli za kitaalamu sana,Sidhani kama Barca watakubali hili dili.
 

Cesc akiwa mazoezini leo kwenye photo call
pamoja na mvua kunyesha asubuhi nzima mjini London .... ..

Hakuna picha zilizopigwa kutokana na hali mbaya ya hewa
wenyewe wanaita
inclement weather
 
zp_Members_Day_3_110804AFC_3145.jpg



zp_Members_Day_2_110804AFC_5902.jpg



zp_Jnr_Gunners_1_110804MAFC_309.jpg




zp_Members_Day_1_110804AFC_341.jpg




Wenye wivu wajinyonge ... .... ..


zp_Members_Day_Q_A_3_11_29B1DE_5768.jpg


zp_Song_4_110804MAFC_910.jpg



zp_Szczesny_1_110804AFC_8749.jpg



zp_Wenger_4_110804MAFC_1308.jpg


Prof. kama kawa ... ...


 
zp_JG_s_110804MAFC_9968.jpg



We Wacha tu ... ....

zp_JG_s_2_110804MAFC_4252.jpg



zp_Wenger_Wilson_1_110804MAFC_1975.jpg



zp_Woody_1_110804MAFC_7186.jpg




gun__1312476882_membersday2011_teamtraining.jpg



zp_Fabregas_Arsenal_fan_29B0D4_7868.jpg



zp_Frimpong_4_110804MAFC_4287.jpg



Vijana watatimka weekend kwenda kucheza na Benfica ......

 
Cesc1_415.jpg


No deal .... .... .....

Cesc yuko kwenye msafara wa Benfica lakini Theo, Jack na Nasri
wamebaki nyumbani kuuguza vidonda ..... ..... ..




gun__1312533079_ucl_udinese.jpg



Get to know more about… Udinese Calcio


carousel_italian_j_1355312a.jpg



Arsenal will face Udinese in this season's Champions League Play-Off Round. The draw took place in Nyon, Switzerland on Friday and saw the Gunners first out of the hat, meaning they will host the first leg at Emirates Stadium.

The matches will be played either side of the second weekend of the Premier League campaign - the first leg at Emirates Stadium is scheduled for August 16 or 17 with the second leg on August 23 or 24.

Arsenal have never played against Udinese before.

Udinese qualified for the Play-Off with a goalless draw against champions Milan on the final day of the season, which earned them a fourth-place finish. It is the second time in their history that they have qualified for the Play-Off draw. The other occasion was in 2004/5 when the club went on to beat Sporting Lisbon 4–2 on aggregate to reach the Champions League proper. They play attractive football, and striker Antonio Di Natale has been Serie A top scorer for the past two seasons.

Udinese's Stadio Friuli holds 40,000.

Arsenal have enjoyed significant success against Italian sides in the Champions League in recent years. Including a win on penalties against Roma to get to the Quarter-Finals of the Champions League in 2008/09, beating AC Milan 2-0 at the San Siro in 2007/08, beating Juventus in the Quarter-Finals in 2005/06 and beating Inter 5-1 at the San Siro in 2003/04.
 
zp_120514489SM013_Arsenal_Trai_7886.jpg



Cesc akiwa mazoezini leo asubuhi kabla ya kutimkia Ureno ….



zp_120514489SM001_Arsenal_Trai_7838.jpg



RVP kama kawaida …. …..


zp_120514489SM002_Arsenal_Trai_9282.jpg



zp_120514489SM007_Arsenal_Trai_9666.jpg





zp_120514489SM008_Arsenal_Trai_3410.jpg


Vijana walikuwa chini ya uangalizi wa prof.



zp_120514489SM009_Arsenal_Trai_9116.jpg



Kijana sikiliza sahau ile hadithi ya Barca hawana mpunga,
si unakumbuka mwaka jana walikopa 250 million
ili kuwalipa wachezaji mishahara …. …. ….. ….
Vile vile ukata umeikumba Spain
we cheza mpira hapa ustarehe
…. ….. Ohhh oohh OK Prof.
 
article-2023035-0D4F901900000578-137_468x406.jpg



Cesc left behind at the last minute ..... ......


arsenewenger_1355609a.jpg


Cesc couldn't believe he's left behind ... ....


Asked if cynical fans believe Fabregas is injured, Wenger said: "He is not injured. He is coming back from injury and is not ready to play. "I do not want to speak about the transfer about Fabregas. I love Fabregas and I want him to stay."


Bold decision by Wenger .... ... ....




article-2023035-0D5062E300000578-952_468x359.jpg


Prof akivinjari kwenye kiwanja cha Benfica ... ...

 
ARSENALsplash_1355906a.jpg




robinvanpersie_1355904a.jpg



VAN BLOWS A GASKET ... fuming Robin squares up to Garay


Dah naona jamaa walimkamia RVP ili asianze EPL ..... ..... ...... ..... bora Prof. alipowaondoa mastaa baada ya kipindi cha kwanza na kuweka chipukizi... ...... .....
 
picha nyiiiiiingi...ushuzi mtupu.
Weka vikombe tuone kama kweli mnananihii.

Nyie ni sawa na Mwanaume asiye na watoto halafu anataka aitwe Baba.
 
picha nyiiiiiingi...ushuzi mtupu.
Weka vikombe tuone kama kweli mnananihii.

Nyie ni sawa na Mwanaume asiye na watoto halafu anataka aitwe Baba.

74_invincibles_682x_965618a.jpg


Unbeaten record ... .... ...

Anayekutukana hakuchagulii tusi. Najua ni wivu tu.
 
mara ya mwisho Assnail kuchukua kombe ilikuwa ni kipindi Mkapa Rais....
Teh teh teh
 
mara ya mwisho Assnail kuchukua kombe ilikuwa ni kipindi Mkapa Rais....
Teh teh teh

Nani alikwambia kama tunajadili mafisadi hapa? Wewe kaa na vitimu vyako vya vichochoroni no name no dignity no right to speak. Wacha ngebe! ebo!
 
gun__1312822749_oxlade_chamberlain_uneviled.jpg


.... ...... .. Oxlade-Chamberlain, who celebrates his 18th birthday next Monday, said: "I'm so excited to be joining Arsenal. It's a fantastic club and I'm really looking forward to the opportunity of playing football at the highest level.


Prof. anaonyesha mambo yake hakuna kimburu wa media yeyote alipata hii habari safi sana, tunasubiri wengine kabla ya dirisha kufungwa.
 
gun__1310109858_miyaichi.jpg



Dogo kapata makaratasi yake
Safi sana mtamwona akionyesha
vitu vyake na New Castle
 
'Fabregas future decided ‘very quickly'
Arsène Wenger expects the future of Cesc Fabregas to be decided "very quickly" now. Media reports in the past 24 hours suggested that the destination of the Arsenal captain next season would be determined by the start of the Premier League this weekend – whether it be Emirates Stadium or Barcelona. On Thursday afternoon Arsenal Player got the latest from the manager.

"That is completely the truth," he said. "We hope it will be sorted out very quickly one way or the other. We'll know very quickly." Meanwhile the future of Samir Nasri is also under the microscope. Once again his manager wanted a speedy resolution. "The Nasri situation is stable," said Wenger. "Again it is very difficult to speak about possible transfers but we are in a situation where we have to make decisions one way or the other. Ideally you want it to be sorted out before the season starts."

Kabla ya EPL .... .... .... ... either you're with us or not ..... ..... ... Safi sana prof.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom