Arsenal - New Era at the Emirates

Arsenal - New Era at the Emirates

Status
Not open for further replies.
zp_Miyaichi_Walcott_Frim_AE311_6213.jpg



zp_Signing_session_1_110_AE313_2513.jpg



zp_Signing_session_2_110_AE315_2084.jpg



zp_Signing_session_3_110_AE316_8563.jpg



zp_Signing_session_4_110_AE317_8336.jpg



zp_Signing_session_5_110_AE318_9134.jpg



zp_Signing_session_8_110_AE31C_4154.jpg




zp_Szczesny_Arshavin_1_1_AE314_9680.jpg



zp_Traore_signing_sessio_AE319_3782.jpg




zp_Signing_session_7_110_AE31B_1945.jpg



zp_Signing_session_6_110_AE31A_5719.jpg




zp_Walcott_Wilshere_Szcz_AE335_8966.jpg



Wachina wamewakaribisha vijana ... ...
 
wadau msinipige mawe... lakini mbona hii thread uimeishia kuwa photo gallery tuu?? kasimu kangu kanaumia kweli

anyway hongereni maana mnaongoza ligi so far
 
wadau msinipige mawe... lakini mbona hii thread uimeishia kuwa photo gallery tuu?? kasimu kangu kanaumia kweli

anyway hongereni maana mnaongoza ligi so far

Kumbe wewe ulitaka iwaje au Wivu unakusumbua? Vipi Loserfools mwaka huu mmejianda namna gani?
 
Baada ya timu kurejea kutoka Asia ... ...


article-2015966-0D0EE89700000578-642_634x500.jpg



Over the moon: Striker Gervinho is delighted
to have completed his move to Arsenal



article-2015966-0D0F517600000578-153_634x401.jpg



All smiles: Gervinho meets up with Alex Song
at Arsenal's London Colney training ground


article-2015966-0D0F1D7700000578-651_634x425.jpg



National service: Gervinho played for Ivory Coast
at last summer's World Cup


Vijana watatimka na hiki kifaa kipya na kuweka kambi Ujerumani kujiandaa kwa EPL ..... ..... ......


 




gervinho_12_682x40_1349168a.jpg



STOOPS, I DID IT AGAIN ... Arsenal new boy Gervinho dives in to score


Tupo kwenye mazoezi wakuu ... ... ..
 
NASRISPLASH2_1348989a.jpg


Huyu dogo ndio atakuwa kama A. Hleb .... .... ... ni kweli alicheza mpira mzuri last season lakini sidhani kama ataweza kucheza na timu nyingine kutokana na uchezaji tofauti Wacha Arsene Wenger akae nae mwaka mzima ili aende bure next season au akacheze Europe. Wenger hawezi kuwauzia Mancs au Chelsick
 
article-0-0D21131C00000578-424_634x419.jpg


Head in hands: Jenkinson reacts after scoring a spectacular own goal
in Arsenal's friendly against FC Cologne



article-2018188-0D20C12C00000578-254_634x444.jpg


Brace yourself: Gervinho scored a quickfire double in the win over FC Cologne


 
NASRISPLASH2_1348989a.jpg


Huyu dogo ndio atakuwa kama A. Hleb .... .... ... ni kweli alicheza mpira mzuri last season lakini sidhani kama ataweza kucheza na timu nyingine kutokana na uchezaji tofauti Wacha Arsene Wenger akae nae mwaka mzima ili aende bure next season au akacheze Europe. Wenger hawezi kuwauzia Mancs au Chelsick

Kuna kitu kimoja nimeona ,ni wachezaji wakihama Arsenal wakienda timu zingine wana flop.....nadhani ni Ashley Cole pekee ambaye hakupwaya.

kingine cha ajabu wachezaji waliopwaya mbeleni kama Bergkamp, Henry na Viera wakaeanda Arsenal wakawa wazuri kupita kiasi....

AW anaweza kubadilisha wachezaji lakini kichwa ngumu sana hataki kuambilika kwanza physio wao ni mbovu sana wangembadilisha na angejenga ngome kutoka kwa wachezaji wa Uingereza au Ujerumani basi hapo Arsenal watafika mbali.
 
The prof. amewakubalia Barca wamchukue Cesc lakini ni lazima deal nzima imlete Thiago Alcantara pale Emirates, chacha naona Barca wanagwaya maana huyu dogo 20 years old ana mkataba wa miaka 4 tu na ni juzi tu alisaini na Barca .... .... ... ..... ...... ..... naona hapo ndipo pamekolea utamu.


800632052_14026959-596x362-1311494542904_304x185_inline.jpg


Thiago Alcantara
 
Wakati tunajiandaa na Emirates cup Theo yupo hati hati baada ya kumpoteza kijana chipukizi kwa miezi kama sita. Kazi ipo mwaka huu ..... ..... ...... ...... nasikia na manure nao Chicharito yuko hospitalini na yeye ..... ...... ..... ....


zp_Pitch_Marking_4_110727PAFC_3889.jpg


Markings at the Emirates .... .. .


Emirates Stadium is almost ready for the Emirates Cup. Arsenal, Boca Juniors, New York Red Bulls and Paris Saint-Germain will compete for this year's trophy on Saturday and Sunday and the groundstaff have been hard at work getting the pitch in pristine condition.On Wednesday morning the pitch was marked out for the first time this season .... ......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom