Arsenal itaua watu

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
330
Reaction score
1,244
🚨🔴⚪Shabiki wa Arsenal aitwaye "Marg" (au kwa jina jingine "Man"), ambaye aliapa mwaka wa 2015 kwamba hatanyoa ndevu zake hadi Arsenal itakaposhinda UEFA Champions League.

Hadi kufikia August 05, 2025, bado ana ndevu za kuvutia, kama za simba, bado anaheshimu ahadi hiyo ya 2015-bila kujali ni muda gani wa kusubiri.

2015: Alitoa ahadi hiyo baada ya mechi ya mwisho ya Arsenal walipocheza na Barcelona katika fainali ya Ligi ya Mabingwa mwaka 2006 na kupoteza kwa 2-1.

Ndevu hizo zitaachwa bila kunyolewa ili kutimiza ahadi yake iliyodumu kwa zaidi ya miaka 10 .

#BaseTvsportnews #EPL #Arsenal #football #UCL
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…