Arsenal inatishaaa!! Walco tt apiga HAT-TRICK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arsenal inatishaaa!! Walco tt apiga HAT-TRICK

Discussion in 'Sports' started by G.T.L, Oct 31, 2012.

 1. G.T.L

  G.T.L Senior Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mpaka Half Time Arsenal ilikua nyuma kwa mabao 4-1, ila badae kipindi cha pili dakika ya 90+4 ubao ukawa Reading 4-4 Arsenal...Dakika 30 zikaongezwa na mpira kuisha kwa ushindi mnono..READING 5-7 ARSENAL wauwaji ni WALCOTT,GIROUD,KOSCIENLY,CHAMACK,WALCOTT,CHAMACK
  Salamu kwa MUFC
   
 2. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hahahahaaaaaa
  kweli mmefulia wakuuu...duh hata reading mnapanga first eleven na kwenda extra......ndomaana watu wenye akili zao wamekimbia timu yenu.....
  NAJUA MTANIUA KWA MATUSI
   
 3. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama uliangalia game yenu Champions na S-04, mtangazaji sky alipiga dongo kuwa...kwenye akaunti yenu inasoma vizuri lakini kiwanjani hakusomeki hahahahahahaha...
   
 4. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,160
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Subirini next week mnakutana na Valencia Antonia, zile kross zake zitawamaliza. Reading kumbe nayo kiboko, imewahenyesha kihivyo! kajipangeni kabla ya kukutana na mashetani wekundu.
   
 5. KATUMBACHAKO

  KATUMBACHAKO JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 387
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Endeleeni kujifariji hivyo hivyo! Maana hali ya timu yenu sio nzuri! ONYO: Kama una ugonjwa wa moyo hama Arsenal - - -> Man U
   
 6. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,160
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Ha ha haaaa, mkuu KATUMBACHAKO umenikumbusha jamaa yangu alisema shabiki wa arsenal akiangalia mechi ya arsenal lazima ukae na kopo la dawa za pressure mezani.
   
 7. G.T.L

  G.T.L Senior Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Acha kuchonga weweeee...First Eleven ilikua hii
  * *Damian Martinez
  * *Laurent Koscienly
  * *Johan Djourou
  * *Carl Jenkinson
  * *Ignas Miquel
  * *Theo Walcott
  * *Fransic Coquelin
  * *Andrei Arshavin
  * *Emmanuel Frimpong
  * *Serge Gnabry
  * *Maroune Chamakh*
   
 8. G.T.L

  G.T.L Senior Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wa kusajiri Marefa..teh teh
   
Loading...