Arsenal hii Ubingwa Bado Sana

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,849
67,285
Arsenal mara nyingi ikitanguliwa kufungwa hasa kwenye big games haiwezi kurudi mchezoni na mara nyingi hufungwa kama tulivyoshuhudia leo.

Narudia kusema tena, Arsenal hii haiwezi kubeba ubingwa, ni heri Leicester City wabebe ndoo coz wanaweza kupambna mpaka mwisho.
 
Kwa mpira upi wa Arsenal kuwa bingwa, labda ije kushiriki ligi yetu ndio itakuwa bingwa lakini si EPL.
 
Mpaka cku wakiri Arsene Wenger ana undugu wa damu na Mr. Bean ndo watatwaa ubingwa EPL !!!!!!
 
Arsenal mara nyingi ikitanguliwa kufungwa hasa kwenye big games haiwezi kurudi mchezoni na mara nyingi hufungwa kama tulivyoshuhudia leo.

Narudia kusema tena, Arsenal hii haiwezi kubeba ubingwa, ni heri Leicester City wabebe ndoo coz wanaweza kupambna mpaka mwisho.
Teh teh teh.......we upigane big game tena derby na mguu mmoja umekula Shaba afu ushinde hicho kichekesho

sema tu ueleweke kuwa

"SITAKI KUONA ARSENAL INABEBA UBINGWA"

afu disguise kama Hawawezi.....

Haters buana
 
Hamto amini macho yenu. Narudia tena, Hamto amini macho yenu kwa kitacho tokea... hasa pale Arsenal watakapo beba Ndoo.

najua yatasemwa mengi sana.
 
Kwa mpira upi wa Arsenal kuwa bingwa, labda ije kushiriki ligi yetu ndio itakuwa bingwa lakini si EPL.
Arsenal walicheza pungufu.... ila uliona jinsi mpira ulivyopigwa....

wewe ulitaka arsenal acheze kana kwamba anawachezaji 12 uwanjani..... ikiwa wana red card.

Licha ya Chelsea yenu kuwa Full na bado haikuweza kutisha ukuta wa arsenal walio pungufu......

Tumia akili kidogo... itakusaidia sana hapo baadaye.
 
Kwa mpira upi wa Arsenal kuwa bingwa, labda ije kushiriki ligi yetu ndio itakuwa bingwa lakini si EPL.
Kwa mpira huu huu ulio tufanya tuwe nafasi ya juu kuliko Utd, Chelsea, Liverpool na City.
 
Jadilini timu zenu, timu yetu mtuachie sisi wenyewe! Mnawashwa na nini?? Ndoo tunabeba! Mtatafuta pa kutokea.
Ukiona watu hawalali, wako bize wanakujadili mpaka kufungua uzi spesho ujue wana hofu na wewe ila wanajificha ktk kivuli cha 'ARSENAL HII HAIWEZI CHUKUA UBINGWA'!
Ukiona wanakujadili ujue wamekukubali ila wanaogopa kusema.
 
Thread yake ilitakiwa iandikwe SITAKI NA PIA NATAMANI ARSENAL WASIBEBE UBINGWAA
 
ubingwa bado kwa sababu wamepoteza mechi na chelsea au vipI? unakumbukagame ya mwanzo arsenalalipofungwa na chelsea alikua na point ngapi? arsenal wana nafasi kulikotimu yoyote epl
 
Mashabiki Wa The Mandaz naona mna matumaini xn ya kuchukua ndoo ya EPL..Jiandaeni na game ya Barca
Mwambieni Prof Mr. Bean awashauri akina Paa Matakataka NA mabeki wenzie wapunguze kiherehere cha kupanda mbele bila umakini
 
mh ila soka linadunda ndio maana kuna sehemu ulitegemea matokeo fulani afu unakutana na mengine unashangaa arsenal kusema aiwez chukua ubingwa ni mapema licha ya kufungwa na chelsea ila sio mwisho wa ligi ndugu kwani hawa arsenal walimpiga city akuna aliyetegemea mechi ya kwanza uefa wakavunja rekodi ya bayern ya kutofungwa mechi kibao ivyo lolote laweza tokea tusijaji kwa mazoea ya nyuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom