GHarama za maisha: Mchele 2500/= (mwaka 2005 ilikuwa 800/=); Sukari 2500/= (mwaka 2005 ilikuwa 600/= hadi 700/=); Nyama kilo moja 6000/=(mwaka 2005 ilikuwa 1200/= hadi 1500/=); S0da 600/= ((mwaka 2005 ilikuwa 150/=); Chumvi paketi 300/=(mwaka 2005 ilikuwa 50/=); Hivi tutafika?
dsa kweli dk slaa mbaya sana kamiliki kadi hadi kadi imepandisha bei hivi, mh