AROBAINI ya CHADEMA:Charles Charles

naomba dawa ya mafua, kuna mavumbi kipande hii bandugu.
 
Ni upuuzi kumfananisha dr.slaa na specie yoyote yenye damu ya ccm, kwani si kweli mnageza harakati za cdm? hukumu ya Lema is your best wishes on Christmas feast. Salamu kwa Edward Lowassa. UMMA UTASHINDA
 
Haki ya nani huu ushindi wa Lema mirembe patafurika aisee
 

What a piece of shit you bringing here man
 
Hata LIKE hupati ng'o!!

Mkuu like wanajipaga wenyewe, wana ID zaidi ya 200, yaani hata sensa ya jamaa wa JF ni vigumu sana kujua kuna idadi gani ya Members kwa sababu hawa M23 wanamiliki ID 200 na wako kama 6 sasa hebu fikiria hapo

 
Ringo Edmund


Yesterday 02:58
#4
JF Senior Expert Member Array


Join Date : 10th May 2010
Location : MDAWI
Posts : 3,040
Rep Power : 1213
Likes Received824
Likes Given502


[h=2]
Re: AROBAINI ya CHADEMA:Charles Charles[/h]
Huyu nae ni kamasi tu.
Ndio vitu gani umeandika hapa na kujitangaza eti umetokea ccm.
Peleka wizi wako kwa mafisadi wenzako.

Kama kuna mafisadi wa mali ya uma basi kuna mafisadi wa habari na wewe ni mmoja wao.​




shortcuts is always wrong way.

 
Kwanini hamtaki kuruhusu mtu anayewaza tofauti na nyinyi kutoa mawazo yake hadharani tena kwa hoja zenye kujipambanua waziwazi, hivi si kweli kuwa hivi sasa chadema kimefikia katika arobaini zake kwa haya yanayoendelea...!
hamuoni kuwa ni wakati muafaka wa kufanya serious discussion ili kunusuru hali ya chama kwa sasa...!
 

Yaani hizi ndiyo mbinu alizo ingia nazo "JANGILI" a.k.a. "WEKA MBALI NA TEMBO". Mmepitwa na wakati, mweee!!!!!
 
Tumechoka!!!!!thread yako nimesoma paragraph moja tu nimeboreka hakuna cha maana,
see you next time"
 
Dr SLAA KWA SASA NI KAMA ALMASI MAANA HATA CCM WENYEWE KWA KUONA KUWA Dr SLAA NI KIFAA,WAMEAMUA KUMLIPIA KADI YAKE YA CCM.HIYO INADHIHIRISHA KUWA PAMOJA NA MATUSI YAKE ALIYOITUKANA CCM KWA MIAKA YOTE HII,PAMOJA NA KUWA KUNA WATU WANADAI KUWA ANA SIASA ZA CHUKI NA FUJO LAKINI KWA CCM BADO ANAONEKANA NI DHAHABU.
FIKIRIA WANACHAMA WENGINE WA CCM WAKIJARIBU KUKIKOSOA CHAMA CHAO WANAVYOTISHIWA KUFUKUZWA UANACHAMA,KAMA YULE MZANZIBAR ANAETAKA MUUNGANO UWE WA MKABA AKAVULIWA NYAZIFA ZAKE ZOTE,LAKINI Dr. HATOI HATA SHILINGI KULIPIA KADI,ANAIPONDA CCM PAMOJA NA MWENYEKITI WAKE JK LAKINI WAPO WANA CCM WANAOMKUBALI KIASI CHA KUMLIPIA ADA YA UANACHAMA AKIWEMO MWIGULU LAMECK NCHEMBA. HII NI ISHARA TOSHA KWA WATANZANIA KUWA RAIS AJAYE NA ANAEFAA NI Dr.SLAA. HAIJAWAHI KUTOKEA MTU AKAGOMBEWA NA VYAMA VIWILI TENA VIKUBWA TU. NI Dr SLAA AMEWEZA KUWEKA HISTORIA HIYO YA KUKUBALIKA HATA NA CHAMA TAWALA. NINACHOOMBA CHADEMA MSIKUBALI KUMWACHIA Dr.SLAA ARUDI CCM. MTAKUWA KAMA BARCELONA WAKUBALI MESSI AENDE MADRID. CCM KWA SASA HAINA MTU ANAEFAA KUWA RAIS NA NDIO MAANA WANAJIKOMBA KWA Dr. SLAA ILI ARUDI KWAO AWE MGOMBEA WAO WA URAIS.
 
Hii nchi haiwezi kuendelea kama mtu kama huyu anapoteza muda mwingi kuandika ujinga badala ya kufanya production, wakati China watu wanatafuta muda wa kununua kama upo,

Kwa CCM ya leo majungu ndio production yenyewe mkuu, itawachukua muda sana CCM kuacha kumtaja DR SLAA na CDM ni kama Dr kawapa mimba CCM na kuwatelekeza sasa wanamlaumu kwa kuwaharibia maisha (ulaji) so wanamlaumu kila wakipata nafasi kwani mpaka ikifika 2015 hali yao itakuwa mbaya zaidi.

CCM kimechoka hakiwezi kufikiri kwa upana, hiki chama kimezeeka na macho yamekufa hata shida za wananchi wake hakioni, kinaishi kwa kunusa na mbaya zaidi kila wakinusa wanasikia harufu ya Dr Slaa na CDM, sasa kawanini wasiongelewe hao kila wakipata nafasi.......
 
mods, hawa jamaa wanatujazia space ya web-server - unless kama wanalipia.
 

Ww ni kenge kweli kuhusu mambo ya siasa za Tanzania. Kaa mbali na CDM .
 
MODS tupunguzueni hizi hoja za kipuuzi zinazoletwa hapa JF, we are tired...Kila siku Dr Slaa, Dr Slaa, Dr Slaa...hivi watanzania hatuna kazi nyingine ya kufanya? Pumbavu sana!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…