Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,126
- 1,439
usiwe na papara, we umeleta uzi tulia ushonwe sasa kukaa unapost mwenyewe basi jijibu
anyway turudi kwenye mada, 40 ni kipindi cha mpito kwaajili ya kujirudi (restoration) au kujiandaa kwa kazi maalumu, ukitaka kujifunza zaidi fuatilia kwenye biblia habari za siku arobaini, miaka arobaini au nusu yake na hapo utaelewa zaidi

Never thought of these. Anyway, thanks. Hopefully, watakuja kutuelimisha hapa.Kunamti pia unaitwa MUAROBAINI
What's with the Hebrews and the number forty? Sounds like they were heavily into numerology.
I've heard, but never checked, that forty years is mentioned forty times in the Bible.
- The Flood rain was forty days.
- After landing on the mountaintop, Noah waited forty days to open the windows in the Ark.
- Moses was on the mountain for forty days.
- The Hebrews walked the desert for forty years
- They search out the Promised Land for forty days
- Isaac was forty when he married Rebekah.
- Twice, Judges gave peace for forty years.
- One occasion, war for forty years.
- One Judge had forty sons…poor wife.
- Saul ruled for forty years.
- David ruled for forty years.
- Solomon ruled for forty years.
- Joash ruled for forty years.
- Prophecy said Egypt would be barren for forty years.
- Elijah was in the desert for forty days.
- Jesus walked the desert for forty days.
- Joseph walked Nineveh for forty days.
- Jesus was said to appear to his followers for forty days after his resurrection from the dead.
The word ‘forty' is mentioned one hundred and forty times. This seems to be an obsession with the Jews…or ‘God.'
I know I have missed a few (?) here, but doesn't this raise a few questions about the stories? Do modern day Christian religions have an obsession with the number 40? I haven't heard anything about this.
Hiyo Avotor yako ndio kusema unalia kwa kukosa maana ya neno Arobaini? teh teh1. Mtoto anapozaliwa anafanyiwa sherehe baada ya siku arobaini
2. Binadam anapofariki anafanyiwa sherehe baada ya siku arobaini
3. Yesu alifunga kwa siku arobani
3. Wana wa israeil walikaa jangwani kwa miaka arobaini
4. Za mwizi ni arobaini
Nini maana ya arobaini. Naomba kuelimishwa. Nakushukuruni.
Kichuguu et al, please help.
1. Mtoto anapozaliwa anafanyiwa sherehe baada ya siku arobaini
2. Binadam anapofariki anafanyiwa sherehe baada ya siku arobaini
3. Yesu alifunga kwa siku arobani
3. Wana wa israeil walikaa jangwani kwa miaka arobaini
4. Za mwizi ni arobaini
Nini maana ya arobaini. Naomba kuelimishwa. Nakushukuruni.
Kunamti pia unaitwa MUAROBAINI
Whats with the Hebrews and the number forty? Sounds like they were heavily into numerology.
Ive heard, but never checked, that forty years is mentioned forty times in the Bible.
- The Flood rain was forty days.
- After landing on the mountaintop, Noah waited forty days to open the windows in the Ark.
- Moses was on the mountain for forty days.
- The Hebrews walked the desert for forty years
- They search out the Promised Land for forty days
- Isaac was forty when he married Rebekah.
- Twice, Judges gave peace for forty years.
- One occasion, war for forty years.
- One Judge had forty sons poor wife.
- Saul ruled for forty years.
- David ruled for forty years.
- Solomon ruled for forty years.
- Joash ruled for forty years.
- Prophecy said Egypt would be barren for forty years.
- Elijah was in the desert for forty days.
- Jesus walked the desert for forty days.
- Joseph walked Nineveh for forty days.
- Jesus was said to appear to his followers for forty days after his resurrection from the dead.
The word forty is mentioned one hundred and forty times. This seems to be an obsession with the Jews or God.
I know I have missed a few (?) here, but doesnt this raise a few questions about the stories? Do modern day Christian religions have an obsession with the number 40? I havent heard anything about this.
Mchango mzuri. Barikiwa!Namba moja ya mtoto kutoka baada ya siku 40 inaonyesha uzazi haukuwa wa shida kwa mzazi na mtoto kwani kwa mujibu wa shirika la afya duniani kifo chochote cha mwanamama either kipindi yupo mjamzito au ndani ya siku 40 kinachukuliwa kama MATERNAL DEATH kwa maana nyingine ni kifo ambacho kimetokana na complication ya uzazi lakini kikitokea baada ya siku 40 hasa kuanzia 43 days kinachukuliwa kama kifo cha kawaida hivyo naweza sema ndio maana mtoto anatoka siku ya 40