Armed protesters gather at heavily fortified state capitols of Ohio, Michigan, Texas and elsewhere

Dogo usijifanye unajua sana kufikiri kuliko kila mchangiaji wa huu Uzi,hivi utwezaje kumtenga Trump na tukio kama lile la uvamizi was jengo la binge wakati tukio lilitokea muda mfupi tu baada ya yeye kutwiti
Mi sio dogo wako. Hilo swali kawaulize FBI ambao mpaka sasa waliokamatwa ni Trump haters.

Hilo la kujifanya najua kuliko kila mchangiaji ni upuuzi wako tu. Kaa nao siuhitaji!
 
Back
Top Bottom