YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,596
- 37
Hivi watoto wanaokufa kwa maroketi ya Qassam sio watu?ipo siku wanao watakufa kifo kama watoto wa palestine wanavyouliwa kwa makombora ya sumu ya wayahudi.
Hivi watoto wanaokufa kwa maroketi ya Qassam sio watu?ipo siku wanao watakufa kifo kama watoto wa palestine wanavyouliwa kwa makombora ya sumu ya wayahudi.
Kwenda zako na avatar yako ya laana.
Mbona mnazunguka sana na jamaa yako?
Munauza unga nini?
Mungu ibariki Israel. Mungu hatakuja kuiacha israel. Nafurahi kwamba makazi mengine yanazidi kujengwa, na si muda mrefu the whole of Eastern Jerusalem will be swallowed na Jerusalem yote itakuwa mikononi mwa Israel. Naisubiria sana siku hiyo. jenga makazi west bank, jenga makazi eastern jerusalem.
At least intelligent post from njiwa hahaha!
why then do you hate your buddy's nation?
Dua la kuku halimpati mwewe.
Mateso aliyoyapata kukaa miaka 2 kwa koma sio mchezo nyerer alikaa muda gani kwa koma? hata miezi miwili hakufikisha
ISRAEL is Blessed period
You can whine and cry the way you want, but the truth will Remain the same. Israel is Blesses by God, Devil is not going to change that.
Get it in your head.... Israel is Blessed and they have the right to be in the land they were given by GOD...:smile-big::smile-big:
Hata kama alizaliwa Palestina ndio ana haki ya kuwauwa Wapalestina Shetani mkuu huyo Sharon?Lakini ajabu na yeye si kazaliwa Palestina?
Dua la kuku.....:smile-big:
Hata kama nipo chini ya kauli ya Mungu huyu shetani muuaji mkuu wa Wapalestina si mtu mzuri katika hii Dunia yetu.:nono::nono::nono::nono: sijajua unazungumza hivyo mwanadamu uliye chini ya kauli ya Mungu wa upendo
ama chini miungu ya vurugu, usifikie hatua hiyo kwa sababu ya kukariri bado wewe ni mwanadamu
na yeye ni mwanamu, Mungu yule muumba wa mbingu ardhi siku zote kaagiza watu kupendana
hata kama watatofautiana kweny milengo ya siasa imani:nono::nono::nono:
God Bless Black People...
God Bless Afrikah
Amiin...
I cannot understand what you believe in. You bash everything. can you help me sir, what do you believe in? a Honesty question
Unataka nikujuze nini? be brief and specific.
Imani kuhusu nini?nataka kujua imani yako!
I didn't mean that maana sijasoma post zako zote. Ila kwa zile ambazo nimekumbana nazo umekuwa mnazi mno mpaka wakati mwingine hauoni ukweli! Anyway tutafika tu my friendalafu broda yaani inamaana mimi huwa naongea pumba sana
Ahaa! Ni nini unaamini kuhusu unakokwenda baada ya kuondoka katika sayari hii kupitia kamlango kanakoitwa kifo?Imani kuhusu nini?
Why is it important to u?YeshuaHaMelech said:Ahaa! Ni nini unaamini kuhusu unakokwenda baada ya kuondoka katika sayari hii kupitia kamlango kanakoitwa kifo?<br />
Just that <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/smile-big.gif" border="0" alt="" title="Smile Big" smilieid="286" class="inlineimg" />
Barukh attah adonai eloheinu melekh ha-olam, she'asani betzalmo (Blessed art thou Lord our God, Master of the universe, who created human beings in His image):yield::yield:
If you cannot answer let us end here! It was voluntary question anyway and you can volunteer not to answer :smile-big:Why is it important to u?
Hizi nyuzi za lugha ya mkoloni zina mambo kweli, thread inazungumzia kitu kingine na mchangiaji kitu kingine, kazi kweli kweli.Jamani mnakitafakari vipi kitendo cha CUF? kwa maoni yangu sasa tumepata CCM mbili yaani CCM family ambayo ni CUF na CCM origional.
Mwenyeezi mungu kamuonyesha Kifo cha koma bado wakati wake a kufa kwanza apate adhabu hapa hapa duniani kisha kesho siku ya hukumu, angojee adhabu ya moto Shetani mkubwa wa israil huyu Mungu amlani kwa kuwatesa wapalestina wanyonge.