Ariel Sharon 'kutoka' Hospitali hivi Karibuni !!

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Messages
2,908
Likes
71
Points
145

Shadow

JF-Expert Member
Joined May 19, 2008
2,908 71 145
Comatose Ariel Sharon 'could be home in days'

_49899080_001807930-1.jpg

Mr Sharon was born in Palestine in 1928, when it was under British administration

The family of former Israeli Prime Minister Ariel Sharon is preparing to bring him home from hospital "within days", Israeli sources say.

The 82-year-old has been in a coma since 2006, when he suffered a massive stroke.
Sources told the BBC he could be moved to his farm in the Negev "as early as Friday" from his hospital in Tel Aviv.

Nicknamed "the bulldozer", the former general was seen as a strong leader by Israelis, but reviled by Palestinians.

'Trial basis'

Last month, medics at Sheba Medical Centre in Tel Aviv said the former leader remained in a vegetative state but that his condition was stable.

"He does have periods of sleep and in the daytime he opens his eyes. Sometimes the family believes there is recognition," his long-time personal physician and friend Dr Shlomo Segev told the BBC.

The hospital has confirmed that it is making arrangements to move Mr Sharon to his beloved farm - Sycamore Ranch - in southern Israel, where his late wife is buried.

"Initially, Mr Sharon will go for several holidays," it said in a statement earlier this week.

Short visits would be supervised by hospital staff, to make sure that private carers hired by the family were able to keep him in a stable condition, the statement said.

"These attempts... will pave the way for his full return home to his family and the environment he loved so much," it added.

Mr Sharon was elected prime minister in 2001, pledging to achieve "security and true peace".

He was a keen promoter of the expansion of the state and initiated the construction of the security barrier around the West Bank.

But despite fierce opposition in Israel, he ordered Jewish settlers to leave Gaza and four settlements in the West Bank.

As defence minister, Mr Sharon masterminded Israel's invasion of Lebanon in 1982. During the invasion, Lebanese Christian militiamen allied to Israel massacred hundreds of Palestinians in two refugee camps under Israeli control.

BBC News - Comatose Ariel Sharon 'could be home in days'
 
drphone

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Messages
3,561
Likes
36
Points
145

drphone

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2009
3,561 36 145
inamana huyu mh bado alikuwa coma kwa miaka yote hyo kweli kunawatu wanajua kujali uhai wa watu wao ingekuwa bongo siangesha kufa cku nyingi sana
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,873
Likes
5,064
Points
280

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,873 5,064 280
inamana huyu mh bado alikuwa coma kwa miaka yote hyo kweli kunawatu wanajua kujali uhai wa watu wao ingekuwa bongo siangesha kufa cku nyingi sana
Mwenyeezi mungu kamuonyesha Kifo cha koma bado wakati wake a kufa kwanza apate adhabu hapa hapa duniani kisha kesho siku ya hukumu, angojee adhabu ya moto Shetani mkubwa wa israil huyu Mungu amlani kwa kuwatesa wapalestina wanyonge.
 
Ehud

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Messages
2,696
Likes
24
Points
0

Ehud

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2008
2,696 24 0
Israel, put your hope in the LORD,
for with the LORD is unfailing love
and with him is full redemption.

He himself will redeem Israel
from all their sins.
 
October

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Messages
2,147
Likes
5
Points
135

October

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2009
2,147 5 135
Mwenyeezi mungu kamuonyesha Kifo cha koma bado wakati wake a kufa kwanza apate adhabu hapa hapa duniani kisha kesho siku ya hukumu, angojee adhabu ya moto Shetani mkubwa wa israil huyu Mungu amlani kwa kuwatesa wapalestina wanyonge.
Dua la kuku halimpati mwewe.

ISRAEL is Blessed period
You can whine and cry the way you want, but the truth will Remain the same. Israel is Blesses by God, Devil is not going to change that.

Get it in your head.... Israel is Blessed and they have the right to be in the land they were given by GOD...:smile-big::smile-big:
 
gutierez

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2010
Messages
1,254
Likes
21
Points
133

gutierez

JF-Expert Member
Joined May 14, 2010
1,254 21 133
Mwenyeezi mungu kamuonyesha Kifo cha koma bado wakati wake a kufa kwanza apate adhabu hapa hapa duniani kisha kesho siku ya hukumu, angojee adhabu ya moto Shetani mkubwa wa israil huyu Mungu amlani kwa kuwatesa wapalestina wanyonge.
Lakini ajabu na yeye si kazaliwa Palestina?
 
Ehud

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Messages
2,696
Likes
24
Points
0

Ehud

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2008
2,696 24 0
Mwenyeezi mungu kamuonyesha Kifo cha koma bado wakati wake a kufa kwanza apate adhabu hapa hapa duniani kisha kesho siku ya hukumu, angojee adhabu ya moto Shetani mkubwa wa israil huyu Mungu amlani kwa kuwatesa wapalestina wanyonge.

Dua la kuku.....:smile-big:
 
Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,547
Likes
623
Points
280

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,547 623 280
Inasemekana Yassir Arafat kasimama kwenye mlango wa Jehanamu na hataki kumruhusu rafiki yake wa miaka mingi sana huku wengi wenu hapa hamjazaliwa, enzi za PLO, asiingie huko Ahera.

Arafat hapo mlango wa ahera ni mkali kweli na kila Sharon akisogea, anarudishwa duniani. Duniani nako hatakiwi na sasa miaka karibu 5 yupoyupo kati ya Dunia na Ahera....................... Msiniuwe bure, hii ni joke nilisikia mwaka jana.
 
Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2009
Messages
3,378
Likes
130
Points
160

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2009
3,378 130 160
Mwenyeezi mungu kamuonyesha Kifo cha koma bado wakati wake a kufa kwanza apate adhabu hapa hapa duniani kisha kesho siku ya hukumu, angojee adhabu ya moto Shetani mkubwa wa israil huyu Mungu amlani kwa kuwatesa wapalestina wanyonge.
:nono::nono::nono::nono: sijajua unazungumza hivyo mwanadamu uliye chini ya kauli ya Mungu wa upendo
ama chini miungu ya vurugu, usifikie hatua hiyo kwa sababu ya kukariri bado wewe ni mwanadamu
na yeye ni mwanamu, Mungu yule muumba wa mbingu ardhi siku zote kaagiza watu kupendana
hata kama watatofautiana kweny milengo ya siasa imani:nono::nono::nono:
 
Mwana wa Mungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2008
Messages
1,007
Likes
23
Points
135

Mwana wa Mungu

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2008
1,007 23 135
Mungu ibariki Israel. Mungu hatakuja kuiacha israel. Nafurahi kwamba makazi mengine yanazidi kujengwa, na si muda mrefu the whole of Eastern Jerusalem will be swallowed na Jerusalem yote itakuwa mikononi mwa Israel. Naisubiria sana siku hiyo. jenga makazi west bank, jenga makazi eastern jerusalem.
 
Forum statistics

Threads 1,203,851
Members 456,992
Posts 28,132,089