Ariana Grande Yupo Makambako.

Ariana Grande Yupo Makambako.

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,194
Reaction score
2,063
Pichani ni Msanii kutoka Marekani Ariana Grande akiwa na Chaliake uko Makambako,Najua Haters na Manyakunyaku mtasema ni Photoshop tu.!ila ni kweli Kabisa yaani Juzi nilikua Kule Makambako ndichi na picha niliwapiga mimi apa Dingoo.
@ChaliiYaKijengeJuu.
 

Attachments

  • ariana.jpg
    ariana.jpg
    25.9 KB · Views: 72
Hiyo picha iko wapi?


Ninavyompenda huyo msanii nitapanda hata basi leo nikamuone.
 
Kumbe Aliana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom