jf user
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 777
- 622
Nimesikiliza nyimbo nyingi sana kwa kweli japokua muziki umejaa vichaa mimi sijawahi kuona mwanamziki wa muziki wowote ule anamtukana MUNGU waziwazi hata kimya kimya mimi sijui.
Ni jambo gumu sana maishani mwangu tofauti na member hapa jukwaani wanaokiri hamna MUNGU na wengine hawana Imani yani wapo wapo tuu sijawhi ona mtu anamtukana MUNGU.
Msanii maarufu wa Marekani Ariana Grand na wimbo wake GOD is a woman ulinishtua sana na kubaki na maswali na majuto mengi moyoni japokua sijausikiliza pengine alikua hamanishi MUNGU naombeni mnisaidie hapa haya yawezekana ni makosa yangu ya kutafsiri vibaya.