Ariana Grande: GOD is a woman, Huyu muimbaji anajua anachokisema?

Shaggy anakwambia I wonder if God is a woman.... Akili za mbuzi kuuelewa huu mstari kazi ipo
Una shida sana ya uelewa hapo umeamua kutumia akili gan sasa kama sio mbuzi ndo maana ukaelewa ulivyoelewa
 
Inaonekana were mfugaji maana unampenda sana mbuzi kila sehem mbuzi mbuzi mbuzi au huwa unawadandia?
hahahahaaa mkuu nidandie mbuzi sio hahahhaaa Masukubashi yamejaa kibao. By the way tusiharibu uzi wa mdau mkuu
 
ndio maana tunasisitiza hakuna mungu ila muumba
kwenye dini zenu mmetengeneza mungu kuwa ni mwanaume
dini ni upuuzi
 
Hakuna mtu amemwona Mungu,

Unaruhusiwa kuamini vile unavyoona

Ariana ni mwanamke, kasoma biblia inasema kaumbwa kwa mfano wa Mungu

Kaangalia namna wanawake walivyo mapefectionist vs wanaume

Na akaangalia pia namna dunia ilivyo perfect, akatoka na conclusion hiyo
 
Hivi mungu yupo? ( hili swali hakuna anaeweza kujibu zaidi ya kuamini uwepo wake, sasa tusio amini?) Hivi mungu hana jinsi? Wanaamini mungu ni mwanaume kwa sababu mwanaume ni bora kwa mwanamke, na hakuna anaeweza kuthibitisha jinsia ya mungu. Hivyo mungu anaweza kuwa mwanamke. hapa I can't imagine utamu wa papuchi yake.
 
Wakati waa uumembaji maandiko yanasema tuliumbwa kwa sura na mfano wa MUNGU which means ni mwanamke na mwanaume kwa sababu hakuspecify
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom