Mkuu naona matangazo ya magazeti ya UDAKU yamehamia humu, kwa akili za kawaida tu, tangu lini DAWA moja ikatibu magongwa zaidi ya ishirini!!!! Hata PANADOL ni analgesic drug tu i.e inakufanya husi sikie maumivu - ni painkiller lakini siyo kwamba inatibu magonjwa inakuondolea maumivu tu- sasa dawa ya CURE ALL imevumbuliwa lini nchini mwetu?