Arfi anaiua CHADEMA wilayani Mpanda

Hakuna gamba wala anayetumika na ccm hii kitu ndio itatuangusha chadema inabidi tukubali ukweli iki tujipange na si kupinga kila kitu na mtu anayesema ukweli unaitwa gamba.je ukweli ni upi kama mimi nadanganya?

Wewe Madelu acha ujinga huwezi kuua chadema kwa kuzusha tu lazima ushawaishi watu kwa matendo siyo propaganda tu. Watu wa siku hizi siyo wa kipindi cha ujamaa wa kirusi kaka! Kama hizi ndo mbinu za CC mpya basi kawaambie wamekosea, wafute plan waanze upya! Mangula huu si wakati wake, uwezo wake ni wa zamani anaweza kuwashawishi wazee wenzake lakini siyo dot com bwana!
 
Mwanachama mwenye uadilifu na chama chake matatizo kama haya anayapeleka kunakohusika sio hapa kila mtu aone ndio nini? Ndio umetatua tatizo?

Ndio maana watu kama nyie tunawaona gamba tu...

Mzee mpaka nimeamua kuandika hapa sikuwa na jinsi kumbuka nipo mpanda pia hapa hakuna ofisi nitatoa maoni wapi?tulimwambia ukweli kwenye kikao akatupa kadi.je ungekuwa wewe ungefanya nini?
 
Hakuna gamba wala anayetumika na ccm hii kitu ndio itatuangusha chadema inabidi tukubali ukweli iki tujipange na si kupinga kila kitu na mtu anayesema ukweli unaitwa gamba.je ukweli ni upi kama mimi nadanganya?

unashambuliwa kwa sababu hapa sio sehemu sahihi ya kutatua matatizo ya chama,ni kweli wewe ni gamba
 
Mzee mpaka nimeamua kuandika hapa sikuwa na jinsi kumbuka nipo mpanda pia hapa hakuna ofisi nitatoa maoni wapi?tulimwambia ukweli kwenye kikao akatupa kadi.je ungekuwa wewe ungefanya nini?

ni bora uhame chama,kuliko kumdhalilisha huyo mzee na chama kwa ujumla kwa kuandika humu JF.sasa umeshaandika nani atakusaidia sasa au ndo tatitizo mpanda yataisha?wewe na mangweshi ni tatizo sana,ni bora anayehama chama kuliko anayehujumu chama kama wewe na wenzio
 
Mzee mpaka nimeamua kuandika hapa sikuwa na jinsi kumbuka nipo mpanda pia hapa hakuna ofisi nitatoa maoni wapi?tulimwambia ukweli kwenye kikao akatupa kadi.je ungekuwa wewe ungefanya nini?

Ni kweli unaweza kuwa upo right lakini hapa sio mahala pake. Kama unakitakia mema chama ni bora utafute hata namba za kina Mbowe na wengine wakusaidie. Ila hapa ni pabaya zaidi unaweza kujikuta unapata mawazo ya kuwa salia na wewe. Kama una moyo na CDM wewe komaa na hizo taratibu nilizoshauri mimi labda.
 
Mkuu haya unayoyamwaga hapa hayana tofauti na ya wale waliotimuliwa na jana wakajiunga na chama cha magereza.. Kuleta hapa unadhani kutasaidia vipi ku-solve tatizo kama ni kweli yapo hayo usemayo..?

Hata kama mtu amekaa uchi hakuna apendaye kuambiwa kuwa yu uchi!!!
Achilia mbali mtu ajaribuye kusema kuwa "mfalme" yu uchi!!!
 
oooh sasa zamu ya huyu bwana eeeh shonza mshammaliza sasa bado arfi duuh
 
Chadema kina sifa ya kufanya maamuzi magumu mfukuzeni haraka.

Mtoto mrembo naona ume jump na huku ...
Naona bila kutaja neno CHADEMA kwa siku unakuwa gonjwa kabisa, vile CDM nakunaga veve, nasikia raaaaaahaaaaaa Mpaka nabana Ngenga.
 
Huyu Arfi ,Zitto na Professa Saffari wafukuzwe tu CHADEMA wanaharibu mikakati ya watu
 
Haya majungu na uchonganishi tuu!
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwanza arfi snitch tu na ashukuru ni makamu m/kiti lakin bado dawa yake ipo jikon hana tofauti na mzee buda we mwanaume unazira eti unatupa kadi ya uanachama anachojivunia nin? Tunajua mpango anaoendelea nao yeye na pinda ila atainywa tu japo chungu maana wewe sio wakwanza kulalamika kuhusu mpanda na uongoz wa huyo jamaa
 
Kinachonisikitisha cdm hatupendi kuambiwa ukweli nimewauliza nani anithibitishie kama ninachosema ni majungu hakuna anayesema wanabaki kubwabwanya.CDM SI MALAIKA KUNA MAPUNGUFU.JE PESA ZA RUZUKU ZINAENDA WAPI IKIWA TU HATA HEADQUARTER WAMEPANGISHA?WTF
 
Kumbe unaa mengi moyoni sasa nimeshakuelewa...nia yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…