Are zombie (zombi) there?

Are zombie (zombi) there?

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
1,399
Reaction score
256
mask_Zombie_rot.jpgzombi.jpgZombi_Lady_by_antsforce.jpg

Ni kweli kuwa hawa ni watu au ni imaginations?
 
Mkuu kwa jibu kamili na sahihi inabidi tu kwanza uende - Gamboshi, Ikingulyabashashi na Sumbawanga!!
 
kwa kiswahili si ndio MISUKULE!!? Mkuu hii issue ipo..!
 
hawa zombe wanakunywa damu za binadamu na wanaogopa mwanga wa jua, jee wakikosa damu ya binadamu watakufa? maana tayari niwafu
 
hawa zombe wanakunywa damu za binadamu na wanaogopa mwanga wa jua, jee wakikosa damu ya binadamu watakufa? maana tayari niwafu

Sikujua kama ni wafu! Basi sitaki kuwaona tena
 
Hiyo ni computer work. Mtu akifa haweeeezi kufanya lolote. Japo kwa upande wa imani fulani wanaamini mtu akifa roho yake inaendelea kuwa hai. Kwa upande wa wangu, najua kwamba binadamu ni combination ya mwili na pumzi ya uhai. Viki seperate hakuna kinachoweza kuwepo independently.
 
Back
Top Bottom