Hiyo dawa yake ni 2 factor authentication. Kama kwenye Gmail yangu nimeset 2 factor authentication ukitaka kulog in inabidi uandike password na kisha uandike namba ambayo inatengenezwa na Google Authenticator App kwenye simu yangu ya Android, hivyo hata ukinasa password yangu haitakusaidia maana hauwezi kuipata namba ya authenticator bila kushika simu yangu at the same time.
Pia unaweza kuishinda keylogger kwa kukopy na kupaste password yako badala ya kuiandika kwa keyboard.