The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,441
- 12,211
Good evening!Sasa usipoishi kwa furaha hiyo huzuni utamhuzunikia nani kwenye Hii dunia ambayo kila mtu anapambania ugali wake.
Uhuzunike,ufurahi lakini mwisho wa siku utakufa tu…we enjoy tu kwa kweli…
Ukipata mia mbili mtafute mwenye kuikubali Mia kula maisha….tatizo tunataka vikubwa ambavyo hatuna njia wala uwezo wa kuvifikia….utahuzunika tu…..kula bata na hilo jero bhana✌️
Kutafuta furaha nako ni sababu ya kukosa furaha.ARE YOU HAPPY WITH YOUR LIFE?
Swali rahisi… lakini jibu lake si rahisi kwa wengi.
Kila siku tunaamka, tunafanya kazi, tunatafuta pesa, tunajenga mahusiano, tunapambana na changamoto. Lakini mwisho wa siku ukiwa peke yako, bila kelele za dunia unaweza kusema kwa dhati kuwa unafurahia maisha yako?
• Je, unaishi maisha unayotaka au unafuata mkondo tu?
• Furaha yako inategemea nini pesa, watu, mafanikio, au kitu kingine?
• Kama jibu ni “hapana”, ni nini kinakuzuia kubadilisha hali yako?
Watu wengi wanaonekana wako sawa nje, lakini ndani kuna maswali mengi ambayo hayajapata majibu.
Toa maoni yako kwa uhalisia hakuna jibu sahihi au baya.
To survive doesnt mean you are alive.Kusurvive ni lazima, kuishi ni hiari.
Ukweli mchungu kudadekiSasa usipoishi kwa furaha hiyo huzuni utamhuzunikia nani kwenye Hii dunia ambayo kila mtu anapambania ugali wake.
Uhuzunike,ufurahi lakini mwisho wa siku utakufa tu…we enjoy tu kwa kweli…
Ukipata mia mbili mtafute mwenye kuikubali Mia kula maisha….tatizo tunataka vikubwa ambavyo hatuna njia wala uwezo wa kuvifikia….utahuzunika tu…..kula bata na hilo jero bhana✌️
Ww unaweza kukubaliana na shida just because ni part ya duality?Dini na Imani nyingi zimewajenga binadamu katika kuamini na kuishi katika duality (pande mbili)
Mfano kati ya Nuru na giza unachagua nuru, kati ya furaha na huzuni unachagua furaha au kati ya juu na chini unachagua juu.
Katika kuchagua upande ndipo mtanzio na matatizo yanapotokea.
Kwanini tusikubali giza kama usiku unapoingia kwa kutambua kuwa ni sehemu ya maisha?
Badala ya kuchagua furaha ni vyema ukubali na kujiandaa kukutana na kukabiliana na chochote kijacho. Ikija furaha yes furahi to the maximum na ikija huzuni pia huzunika ipasavyo.
Somewhere beyond right and wrong, there is a garden. I will meet you there.Ww unaweza kukubaliana na shida just because ni part ya duality?
That place doesn't exist. Not in this physical realitySomewhere beyond right and wrong, there is a garden. I will meet you there.
Ww unaweza kukubaliana na shida just because ni part ya duality?
That place doesn't exist. Not in this physical reality
That place doesn't exist. Not in this physical reality