Are you good at marketing?

Software Engineer

JF-Expert Member
Dec 20, 2014
344
137
ARE YOU GOOD AT MARKETING?

Intro:

Tuna mobile app inayomwezesha mtumiaji kuona nyumba zinazopangishwa/kuuzwa nchini Tanzania. Pia inaonesha ardhi ya makazi, biashara na mashamba inayouzwa nchini Tanzania.

Aim:

Kurahisisha upatikanaji wa huduma za nyumba hasa za kupanga kwa jamii ya Watanzania waishio mijini, bila gharama yeyote (hakuna udalali hapa)

Conclusion:

Tunahitaji vijana wenye uwezo wa kuandaa marketing strategies na ku-promote hii mobile app kwa wadau mbali mbali nchini Tanzania.

Responsibilities:

Kuandaa strategy na kufanya marketing kwa wadau husika.

General instructions

Tupe kiasi cha malipo unachotegemea kulipwa kwa kazi hii.

Tuwasiliane kupitia info@grabcityinfo.com
 
Like any other business, App Marketing inaanza chini kabsa na product, target market yako, comprehensive keyword research, monitoring competitors, testing and optimizing, etc. Kma mmeshapita hko inakuwa ni rahisi kutafuta channels, kupanga na kufikia malengo kwa metrics mlizoweka.
 
mi np tayar kulipwa kiasi chochote hadi pale mtakapo ridhika na utendaji wangu wa kazi no 0659865639
 
Like any other business, App Marketing inaanza chini kabsa na product, target market yako, comprehensive keyword research, monitoring competitors, testing and optimizing, etc. Kma mmeshapita hko inakuwa ni rahisi kutafuta channels, kupanga na kufikia malengo kwa metrics mlizoweka.

Karibu tufanye kazi kijana
 
NAFASI ZA KAZI

Habarini wakuu. napenda kuwatangazia nafasi za katika Waridi company Ltd. nafasi ya watu wa marketing. Elimu kuanzia form four na kuendelea waliosomea marketing watapewa kipaumbele zaidi. Mshahara ni maelewano. Hofice ipo mbezi kwa mawasiliano 0756587380. Tuma sms tu.
Aaasanteni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom