father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 835
- 643
Awali kabisa, rekebisha heading yako...haijatulia.
MBONA huyo mdada UMEMWONYESAHA sehemu za katikati na makalio tu?
Sura yake imekaakaaje?
Is that your Marketing strategy?
Haya singles...sijui mnachopenda katika mwanamke..kaz kwenu!
Haya for the singles and searching chukueni huyo but angalieni asijekuwa kunguru. Kwetu sisi waseja tushajifunga sirudi nyuma!
bwana Jimmy huyu jamaa anatubania,anamtaka anajifanya hamtaki,si umemsikia anasema yeye kwa vile yuko nje? kwani nje unaishi milele?Hata hivyo mmmh sijui niseme?anyway anaonekana analipa.Sijui reception yake.Awali kabisa, rekebisha heading yako...haijatulia.
MBONA huyo mdada UMEMWONYESAHA sehemu za katikati na makalio tu?
Sura yake imekaakaaje?
Is that your Marketing strategy?
Haya singles...sijui mnachopenda katika mwanamke..kaz kwenu!
EBO sasa huko kichwani akiwa na mapembe?heading nimesharekebisha kamanda...nilisahau neno you.
sura yake hata mimi natamani kuiona kiongozi....kila kitu nimekikuta hivhivi ktk blog moja ya daiting....!
marketing strategy kivipi kiongozi..unamaanisha namuuza au unamaanisha nini mkulu?
bwana Jimmy huyu jamaa anatubania,anamtaka anajifanya hamtaki,si umemsikia anasema yeye kwa vile yuko nje? kwani nje unaishi milele?Hata hivyo mmmh sijui niseme?anyway anaonekana analipa.Sijui reception yake.
hahaaa G!! umenikumbusha mbali eti 'waseja'!!!
wewe ni m-Francisico???
hahaaa G!! umenikumbusha mbali eti 'waseja'!!!
wewe ni m-Francisico???
Huyu aakuwa m-selian huyu!!
tehe tehe he kiongozi pamoja na kulileta tangazo mpaka hapa unasema nabania.....namtaka ndio kanivutia ndio lkn hataki kuja ughaibuni na mimi sina mpango wa kurudi karibuni...sijui nini kinamfanya aogope kuja ughaibuni......acheni kutuita wabeba mabox ndio maana mnatukosesha riziki kama hizi!kilichonivutia zaidi ni kwamba hataki kuja ughaibuni maana wale vicheche ughaibuni ndio first priority......!
hujambo bibie.....!
sijambo baba xmas tree!!! wajionaje na hali??