cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,382
- 2,416
Habari wakuu, kwa sisi tunaopita kwenye website mbalimbali tumekuwa tukikutana na hiki swali mara nyingi,hasa website za technology,likitutaka kuthibitisha kwamba ni binadamu anaye peruzi, hivyo kuna maswali utaulizwa kwa njia ya picha.
Wataalamu wa Technology tujuzeni hivi kuna robots wanatumia hizo huduma za internet kama binadamu?,kama hakuna hili swali la are you a robot lina mantiki gani.
Wataalamu wa Technology tujuzeni hivi kuna robots wanatumia hizo huduma za internet kama binadamu?,kama hakuna hili swali la are you a robot lina mantiki gani.