Are we serious?:govt "saves" 3bn

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,256
GOVT "SAVES" 3 BN FROM GHOST WORKERS Daily News 24th Dec 2008

Wadau JF this is serious.Ati Govt saves 3bn kutokana na wafanya kazi hewa.Waziri wa Nchi (Public Service Management) amedai kuwa Wizara yake "imeokoa" Tshs 3bn kutokana na wao wenyewe kufanya kazi ambayao wanalipwa na umma.
Maswali yanayoibuka hapa ni mengi
-je hao hewa waliingizwa na nani hapo
-je ni nani alifaidika na hao watu hewa
-Je suala hili litaishia tu kwenye vyombo vya habari bila watu kuchukuliwa hatua
-Je wasimamizi wa hizo sehemu zenye wafanyakazi hewa wanawajibika vipi?
Inaelekea katika serikali kuna usimamizi usioridhisha kwa wafanyakazi kwa kazi za kila siku na kujua nani anfanya nini na yuko wapi.

Zinahitajika hatua za kurekebisha ili yanaoonekana yasitokee tena, na haya ndiyo masuala watu tunayotaka kusikia
 
If these so called "GHOST WORKERS" were known, should they be taken to court for stealing Government money?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom