mafanikio ambayo spain aliyoyapata ktk soka kuanzia 2008 walipobeba euro kule uswiss na austria,na kupita ktk kuingia world cup 2010 ktk group lake kwa kushinda mechi zote,na kutopoteza mechi 35 mfululizo,ingekuwa england kila mtu hata ambae soka imempitia kushoto angejua maana wanajua kujitangaza na kujipa umaarufu,spain wanaitangaza kwenye mabaya eg ubaguzi wakati dunia hii kila sehemu ubaguzi upo,hata wakati inaanza world cup 2010 watu wengi(ila sio zaidi ya 50%) kama sio wote walikuwa hawajui kama spain ni alikuwa bingwa wa euro 2008,na vilevile wamebeba 2010 world cup lakini sio makelele kama ufaransa walipobeba 1998 world cup na euro 2000 wakawa sifa bingwa ulaya bingwa euro kwa lugha yao sijui vizuri (copa la munde,copa de europe),hata waliposhika fifa ranking namba 1 wengi wa watu nadhani pia hawakulitambua hilo,si ajabu hadi 2014 wengine wakasahau kuwa spain ndie bingwa mtetezi world cup,ila kazi imeanza wanaitangaza nchi yao sasa kwa vitendo sio kuongea sana kama england maana talk is cheap,as a man sow he is a reap(kuongea rahisi,mtu anavuna anachokipanda),real madrid ina mafanikio makubwa sana ulaya,ila chelsea inavyotangazwa haijafikia hata robo ya mafanikio ya real madrid,hata barca wanayoibeba ni waspain xavi na iniesta ila inaonekana barca ni messi.me ecanta espana(i like spain) espana noma(spain is top)