Wanazaliwa tayari wana kipaji hicho, mafunzo yao yanaifunua karama yao.
Kwasababu sifa zao tu ni za kipekee sio kila mtu anazo.
Kwa maana hiyo hata kama mtu kazaliwa spy akakosa elimu zaidi na fursa ya kukitendea kazi kipaji chake,hata katika maisha yake ya kawaida utakuta ni mtu anayeishi kiupelelezi tu na hahangaiki kujua jambo,ukiongea nae ukijikanyaga maneno kadhaa kashajua kila kitu kama mwanga.