Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,950
- 2,149
Curiosity ilimuua paka.. Kemea hilo pepo la uchunguzi...Tatizo naloliona ni moja ni kwamba wewe huna training ya surveillance sasa unaweza ukaingia kwenye mdomo wa mamba katika kumchunguza ndugu yako. Ndugu yako anaweza akawa anafuatiliwa mienendo yake. Sasa na wewe kujiingiza katika kumchunguza unaweza ukaonekana kwenye macho ya wanafuatilia miendendo ya ndugu yako na yakakukuta makubwa huku ndugu yako asipate kujua.. Kuwa makini itakula kwako..😀😀😀. Ili uweze kumchunguza ndugu yako unapaswa na wewe uwe na uwezo wa kugundua watu wengine wanaofuatilia miendendo ya ndugu yako, kitu ambacho si rahisi kiivyooAsante sana kwa mleta maada kuna mtu wangu wa karibu ninemchunguza tangu huu mwaka uanze na ninaona ana uelekeo na hawa watu ni mtu wa karibu sana yaani (mimi ni damu yake) ni viashiria gani nitatumia kumjua.
Nataka nipate uhakika tu kama kweli anaifanya hii kazi nikiridhika nitaacha aendelee na mambo yake ila sitaki ajue kama namchunguza.
Ninajua ni hatari ila nitajaribu na sidhani kama kuna sehemu nitateleza katika hili wakuu.Curiosity ilimuua paka.. Kemea hilo pepo la uchunguzi...Tatizo naloliona ni moja ni kwamba wewe huna training ya surveillance sasa unaweza ukaingia kwenye mdomo wa mamba katika kumchunguza ndugu yako. Ndugu yako anaweza akawa anafuatiliwa mienendo yake. Sasa na wewe kujiingiza katika kumchunguza unaweza ukaonekana kwenye macho ya wanafuatilia miendendo ya ndugu yako na yakakukuta makubwa huku ndugu yako asipate kujua.. Kuwa makini itakula kwako..😀😀😀. Ili uweze kumchunguza ndugu yako unapaswa na wewe uwe na uwezo wa kugundua watu wengine wanaofuatilia miendendo ya ndugu yako, kitu ambacho si rahisi kiivyoo
Do at your own riskNinajua ni hatari ila nitajaribu na sidhani kama kuna sehemu nitateleza katika hili wakuu.
Nipo mamito nipe story shilawadu la mjiniShoga yangu Girl Next-door upo bi shosti?
Kama ni issues za maana weka hapa kwa manufaa yetu soteKuna issues flani nimekutumia kwenye PM inbox. Soma kisha nijibu
Huge matterde'levis Freelancer
wakuu vp kuhusu air hostesses pamoja na members of diplomatic community. Wahudumu wa ndege wanaweza kuwa spies/informers pamoja na watumishi wa ujumbe wa kidiplomasia?
Haimo kwenye bibliakwenye biblia kuna mstari mmoja unasema ..si vizur chakula cha watoto kuwapa mbwa..jaribu kupata mda uutafakar kama unaamin katika maandiko..
Bustan zinatesa sana kwan uangalizi wake unahitajika sana, tumpe mudauzima badp upo...ni hivi tu kwamba nimekabidhiwa bustan nayotakiwa kuitunza...miche bado ni midogo sana na inahitaji uangalizi wa karibu sana..vitalu viwili mbegu zake ziliwah kufika hizo tayari tumeziondoa na kwenda kupandwa shambani lakinbvitalu vilivyopo bado miche yake ni ya juzi...
na pia kuna kaz ya ziada mara nitokapo bustanini huwa naifanya ya kutengeneza mishumaa..hii nayo inaninyima mda mwingi wa kuingia huku...nadhan baadae nitatenga mda wa kuwa naingia huku..
MubasharaSome of the activities they conduct could be some form of espionage.. But within diplomatic community there are those who are spies by professional like being there at their diplomatic post is solely for espionage mission. But the rest of the diplomat could be also conducting espionage in an implicit fashion,because some of the reports they compile could be interpreted as doing espionage indirectly. For example those cables that are wired by American diplomats are one of the ways of gathering intelligence be it political or economical..
They know you if is you among youNinajua ni hatari ila nitajaribu na sidhani kama kuna sehemu nitateleza katika hili wakuu.
wewe huna huwezi kupigizana kelele. achana na majukwaa ya siasa kama yaleMr Q
Siku hizi huwa ninavamiaga jukwaa la siasa kisha wanafungia mada zangu.
Rais Magufuli, CDF mpelekeni Tundu Lissu mahakama ya kijeshi - court Marshall
Nipo busy kidogo subiri ntarudi dada yangu.Watu kwenye asili ya asia hususani wahindi waliojaa kariakoo na posta sana lifestyle ya kwao tofauti kabisa na hii ya sisi weusi. They have their own schools, hospitals even residential zones.
How do we spy on them? Freelancer The bold Infantry Soldier Ramark
Turn one of their own against them and develop assets. Then the asset could do whatever you are asking them to do. Bugging, collecting information, etc. Kwa wahindi blackmail inaweza fanya kazi vizuri maana wana kona kona nyingi i.e ukwepaji kodi, biashara za magendo. Zote hizi zinafungua avenue ya blackmail. Sasa ukikamata weakest link ya ku black mail then you may have assets in place..Watu kwenye asili ya asia hususani wahindi waliojaa kariakoo na posta sana lifestyle ya kwao tofauti kabisa na hii ya sisi weusi. They have their own schools, hospitals even residential zones.
How do we spy on them? Freelancer The bold Infantry Soldier Ramark
Pia house help, house maids inaweza ikawa nayo ni avenue nyingine. Wanaajiri waswahili sana. 😀😀Safi sana. Asante kaka
I have learned something from herePia house help, house maids inaweza ikawa nayo ni avenue nyingine. Wanaajiri waswahili sana. 😀😀
Not only house maids but also they employ tanganyikan in their schools, hospital na maduka au migahawa Mimi make wangu ananipa nyingi yy ni mpishi hotel moja hapa mjin ya wahindiWatu kwenye asili ya asia hususani wahindi waliojaa kariakoo na posta sana lifestyle ya kwao tofauti kabisa na hii ya sisi weusi. They have their own schools, hospitals even residential zones.
How do we spy on them? Freelancer The bold Infantry Soldier Ramark
Who youwewe huna huwezi kupigizana kelele. achana na majukwaa ya siasa kama yale
Swali hilo kwakeRamark do you know this Girl Next-door personally?
Mkuu Acha kum discorage jamaa bna Ngoja atuandikie na Wengine tujifunze Mbona Wana Usalama Wa idara za Huko Dunia ya kwanza wanaandika mpaka Vitabu juu ya mambo hayahakuna spy anayeruhusiwa kuandika mada za espionage kwenye mitandao ya kijamii kama jamiiforums. Huyu mleta mada ni mtoto wa secondary inaonekana ndio anajifunza udadisi wa taaluma za watu wazima