DohJana nimetongoza msagaji demu mkali huyo balaaa, Sema yeye kanikubali na kaniambia anapenda life style yangu. Ila nilipoomba game kaniambia yeye hafeel wanaume, ye anapenda wanawake wenzie, na mm namjua kuwa huyu demu lesbee isipokuwa nimetest mavumba yangu. Ila kaniambia yeye ananikubali sana mm na kaniahidi kesho anakuja gheto na dem mkaliii ananiletea ila sio yeye,,,, yani Wana nzengo na chatt zake ninazo hapa. Mtoto mkali balaa, mxhosa kamix na mkaroud
Sijakuelewa.it's a spiritual thing
Ulichoandika kinathibitisha ya kuwa wewe ni mgonjwa wa akili. Hakuna mtu mwenye akili timamu akaacha mambo yake ya msingi akajishughulisha na uchaguzi. Mimi kupiga kura ni haramu na nikipiga kura napata madhambi.Walikutwa na kinachokukuta wewe,yaani mkuu unatumia muda wako kuwaza mapenzi ya jinsia moja?Au unataka kutest mitambo?Nakushauri ungeupa kipaumbele uchaguzi mkuu.
Ahsante.Hakuna mtu anazaliwa Gay, hizo ni tabia watu hujifunza kama KUVUTA SIGARA, KUNYWA POMBE, KUCHEZA MPIRA, KUKIMBIA, KUIBA, KUIMBA, N.K.
Kama ambavyo hakuna mtu anazaliwa mlevi, vivyo hivyo hakuna mtu anazaliwa Gay.
wapo watu wanzaliwa na abnormalities mbalimbali, kama kuwa na jinsia mbili, au kutokuwa najinsia yoyote.
Hakuna abnormality ya kumfanya mtu awe Gay.
Huo ni utashi wao.
Sahihi kabisa hakijaacha kitu ndiyo maana kikatuambia ya kuwa "Ikiwa hamjui basi waulizeni wenye kujua".Kama we ni mtu wa dini na ulishajipambanua wazi kua we ni mtu wa dini gani.
Imekuaje tena utuulize swali kama hilo wakati kitabu cha dini yako kinadaiwa kua hakijaacha kitu?
Wenye akili timamu huwa hatuchezi kamari.Kuchangia nyuzi kama hizi zinasabisha mikeka yangu kuchanika!
Ahsante. Umesema kweli.It's just bad habits and evil forces
Vipi kuhusu kutest mitambo mbona hujazungumzia?Ulichoandika kinathibitisha ya kuwa wewe ni mgonjwa wa akili. Hakuna mtu mwenye akili timamu akaacha mambo yake ya msingi akajishughulisha na uchaguzi, nyote ni Wajinga. Mimi kupiga kura ni haramu na nikipiga kura napata madhambi.
Pili, suala la mapenzi ya jinsia mona athari zake ni mbaya kuliko nyote mkiacha kujishughulisha na uchaguzi.
Tatu, inabidi ukue ujibu hoja siyo unaandika ujinga na ukameme. Kwenye umakini usiweke ujinga na kwenye jitihada usilete uzembe na kuzembea.
Wenye akili timamu huwa hatufanyi mambo yenye kudhuru afya za akili zetu, zenye kuathiri jamii, zenye kwenda kinyume na asili.Vp kuhusu kutest mitambo mbona hujazungumzia?
Umesema kweli, ndiyo maana ukiwafikiria kwa undani watu hawa naona kabisa wanazitumia vibaya akili zao na kufata matamanio yao.Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kulala na mwanaume mwenzio eti mnafanya mapenzi.Tena ukawa na hisia kwelii????