Ardhi University

Jeromy

JF-Expert Member
Jan 13, 2013
319
225
Hellow wanajamii,

Nilitaka kupata msaada kuhusu anayejua kozi ya Information System and Management(ISM) iliyopo pale Ardhi University, na pia kuhusu teaching facilities.
 

mhuri25

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
1,395
2,000
Yaan nawewe ndio unataka kwenda ARDHI wakati hata UNIVERSITY huwezi kuiandika vizuri..(JOKE)


Subiri watakuja kukupa muongozo mkuu
 

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
6,764
2,000
Kweli ulifaa kudahiliwa ARU wew?

Hata kuandika hujui.


Anyway ISM ni kozi inayohusiana na IT
 
Top Bottom