nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,249
- 1,737
....
Freshers wote mnaoenda ardhi tukutane hapa tujadil kuhus accommodation maan naskia ni shida San pale na continous watupe mbinu Za kupata malaz
Saw naomb nitajie maeneo ya vyumb bei rahis ila isiwe mbali San na hpo na gharam zakeMimi nilijua labda ' Wahadhiri ' hawapo au wamegoma kumbe ni suala dogo tu la malazi Mkuu? Mbona hayo maeneo kuna Nyumba nyingi tu za kuweza kuishi na tena ni za gharama nafuu tu. au unadhani labda kukaa humo ndani ARDHI ndiyo itakupa hakikisho kuwa Wewe utakuwa ' unafaulu ' tu na unaogopa kwenda kukaa nje ya Chuo hapo kwa ' wananzengo? '
Kozi ya BE ikoje hpo mzeeKaribuni Ardhi... mmekuja kusoma! One yako iache nyumbani
Saw naomb nitajie maeneo ya vyumb bei rahis ila isiwe mbali San na hpo na gharam zake
Msuli wako tu... ni kozi nzuriKozi ya BE ikoje hpo mzee