Ardhi University(ARU) - Special Thread

Hivi ukiwa na diploma ya geomatics unaweza kudahiliwa bsc in civil engineering?

SUKAH...
 
Ivi hiyo Bachelor of Architecture (B.Arch) inakua na hesabu nyingi kiasi kwamba inahitaji watu waliosoma Pure Maths pekee au hata waliosoma PCB wanaweza kusoma hiyo course?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukiwa na diploma ya geomatics unaweza kudahiliwa bsc in civil engineering?

SUKAH...
 
Kuna hii course ya Bachelor of Arts in Community and Development Studies hivi hii course ina tofauti yoyote na ya maendeleo ya jamii?
 
wadogo zangu mnaopenda kujiunga na chuo hiki nawakarbshen sana waweza kuniuliza swali lolote kuhusu chuo chetu utajibiwa bila shaka KARBUN CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM
Vp Kwa upande Wa bachelor of arts in economics anaweza kupata aliepata division 3 ya 13?
 
wadogo zangu mnaopenda kujiunga na chuo hiki nawakarbshen sana waweza kuniuliza swali lolote kuhusu chuo chetu utajibiwa bila shaka KARBUN CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM
Kwa HGList unamshaurije mkuu achukue koz gan inayowez kumsaidia kujiajir au kuajiriw
 
Naomba kuuliza kuhusu bachelor of land management inahusiana na nini na in employment mhusika anakuw anajishughulish na nn hasa piah na ada zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…