iGodmanhustler
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 609
- 343
Kama na wewe unaomba omba kazi kama mimi bila kuangalia jina la kampuni, ebu angalia hii website Home | Ardhi Plan Ltd wametoa majina yakuitwa kwenye interview..kama kuna mtu anaijua jua hii kampuni jinsi wanavolipa au anything useful please tililika hapo hapa kwenye huu uzi