Ardhi inahitajika popote pale Tanzania

Ardhi inahitajika popote pale Tanzania

Joined
Jan 4, 2019
Posts
19
Reaction score
13
Asalam aleykum wanajukwaa
Naomba mnipokee memba mpya ndani ya jukwaa adhiim.
Naam mwaka huu 2019 kati ya ndoto zangu ni kumiliki ardh kati ya ekar 15-20 sehemu yeyote ile Tanzania ambayo nitaona inanifaa(kutokana na michango yenu wadau) ndani ya ardh hiyo nategemea kufanya kilimo na ufugaji ambavyo vinaambatana na makazi yangu na familia yangu. Napenda kuishi kijijini na inshaalah nikipata sehemu hiyo kama ninavyotegemea nitapafanya pa kipekee.
Ombi langu wanajukwaa na wataalam wa uchumi na usimamizi wa ardhi ni kunipa ABC za wapi naweza kutimiza ndoto yangu hii, na kwajins gani nitafanikiwa nina imani kwa ninavyoijua JF nitapata mengi ya kunikosoa na kunikatisha tamaa (hizi ndo changamoto zenyewe za kunifaidisha)

Karibuni sana wadau
 
Tabora mkuu,kuna eka 10 zimeungana unaweza kutimiza ndoto zako
 
Kijijini kwetu, Heka ni bei ya Pipii!
 
Dodoma ni sehemu nzuri sana kwa makazi
-Mji unapangwa vizuri
-Maofisi na huduma nyingi zinahamia hapo
-Bado maeneo yanapatikana kwa bei nafuu,unaweza miliki mpaka ekari 20 kwa bei ya milioni 12M na ekari zikawa karibu na mjini(24-26km)

Binafsi nakushauri ishi dodoma
Ukihitaji ardhi dodoma tuwasiliane
+255622111186(whatsap)


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dodoma ni sehemu nzuri sana kwa makazi
-Mji unapangwa vizuri
-Maofisi na huduma nyingi zinahamia hapo
-Bado maeneo yanapatikana kwa bei nafuu,unaweza miliki mpaka ekari 20 kwa bei ya milioni 12M na ekari zikawa karibu na mjini(24-26km)

Binafsi nakushauri ishi dodoma
Ukihitaji ardhi dodoma tuwasiliane
+255622111186(whatsap)


Sent using Jamii Forums mobile app

Ahsante mkuu
Ningefurah kama ungenambia na majina ya hayo maeneo ili nitafakar shukhur gani zaid za kimaendeleo naweza fanya hapo
 
Ahsante sana unazungumzia ardhi iliyopo ndani ya bonde la mtu rufiji?
Nilifika mpaka kibiti hadi nyamisati week mbili zilizopita
Kwakwel maeneo ni mazur mno

Ila wenyeji waliniambia changamoto kubwa kwa shukhur za kilimo ni wanyama waharibifu sijui kuna ukwel?
Syo huko nenda sehemu za ikwiriri

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom