Ardhi inahitajika popote pale Tanzania

Ardhi inahitajika popote pale Tanzania

Joined
Jan 4, 2019
Posts
19
Reaction score
13
Asalam aleykum wanajukwaa
Naomba mnipokee memba mpya ndani ya jukwaa adhiim.
Naam mwaka huu 2019 kati ya ndoto zangu ni kumiliki ardh kati ya ekar 15-20 sehemu yeyote ile Tanzania ambayo nitaona inanifaa(kutokana na michango yenu wadau) ndani ya ardh hiyo nategemea kufanya kilimo na ufugaji ambavyo vinaambatana na makazi yangu na familia yangu. Napenda kuishi kijijini na inshaalah nikipata sehemu hiyo kama ninavyotegemea nitapafanya pa kipekee.
Ombi langu wanajukwaa na wataalam wa uchumi na usimamizi wa ardhi ni kunipa ABC za wapi naweza kutimiza ndoto yangu hii, na kwajins gani nitafanikiwa nina imani kwa ninavyoijua JF nitapata mengi ya kunikosoa na kunikatisha tamaa (hizi ndo changamoto zenyewe za kunifaidisha)

Karibuni sana wadau
 
unaweza kuishi makambako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu mkuranga hautajutia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweza kuishi mkuu
Katika target yangu mkoa wa Mbeya, Iringa na RUKWA ni maeneo ya kipaumbele

Iringa napapendea maana naeza wekeza kwenye kilimo cha miti

Utanisaidia sana ukinipa ABC za huko
Ningekukaribisha ila kusema kuwekeza kwenye miti!!! Miti hasa hii ya mi pine imeharibu ardhi yetu. Kama unawekeza miti ya asili nitakukubali.
 
Naweza kuishi mkuu
Katika target yangu mkoa wa Mbeya, Iringa na RUKWA ni maeneo ya kipaumbele

Iringa napapendea maana naeza wekeza kwenye kilimo cha miti

Utanisaidia sana ukinipa ABC za huko
cheki katavi bado ardhi ni bei ndogo na ina rutuba sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom