Incredible1492
Member
- Jan 4, 2019
- 19
- 13
Asalam aleykum wanajukwaa
Naomba mnipokee memba mpya ndani ya jukwaa adhiim.
Naam mwaka huu 2019 kati ya ndoto zangu ni kumiliki ardh kati ya ekar 15-20 sehemu yeyote ile Tanzania ambayo nitaona inanifaa(kutokana na michango yenu wadau) ndani ya ardh hiyo nategemea kufanya kilimo na ufugaji ambavyo vinaambatana na makazi yangu na familia yangu. Napenda kuishi kijijini na inshaalah nikipata sehemu hiyo kama ninavyotegemea nitapafanya pa kipekee.
Ombi langu wanajukwaa na wataalam wa uchumi na usimamizi wa ardhi ni kunipa ABC za wapi naweza kutimiza ndoto yangu hii, na kwajins gani nitafanikiwa nina imani kwa ninavyoijua JF nitapata mengi ya kunikosoa na kunikatisha tamaa (hizi ndo changamoto zenyewe za kunifaidisha)
Karibuni sana wadau