Ardhi: Bwama - Kisarawe

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
571
156
Habari za asubuhi wadau?
Naomba kuuliza:
Bwama - Kisarawe ina ardhi nzuri na tambarare ambayo mtu anaweza skalima mananasi?
Na je huduma za jamii kama vile shule, maji, umeme, afya, usalama wa raia (polisi) zipo karibu?
Vipi kuhusu barabara?

Na mashamba yanauzwa bei gani huko?
 
Kama unataka kuwekeza kisarawe kwa kununua ardhi kuwa muangalifu sana.migogoro mitupu,viwanja safi ni vile vilivyotangazwa na halmashauri lakini kwa mashamba ni pasua kichwa.hukawii kusikia shamba lako limemegwa na kijiji cha jirani na limeuzwa
 
Ok, asante sana kwa ushauri.
Nitaufanyia kazi.
Kwa anayepajua vizuri Bwama naomba majibu.
Kuna sehemu huko inauzwa ekari 100 kwamba ina title deed (hati miliki).

Na kwa anayepajua Sungwi - Kisarawe?
 
Sungwi ni hatari mkuu labda uwe na mwenyeji muelekezi tena mtu mzima.
Hilo shamba la bwama ka search halmashauri na wizarani kwa mpigo.kama majibu yakitofautiana acha
 
Asante sana!
Inaonesha kuna risk kubwa ya "kupigwa" huko!
 
Back
Top Bottom