Kisa cha kuuliwa Askofu Luwumu ni huu warakaHalafu mtu kama Pascal anamsifia "homeboy" eti "good" president "Uganda" had ever had (sijui kama grammar ni sahihi kama alivyoitumia yeye Pascal Mayalla (to me, he should have written Tanzania has ever had)
ARCHBISHOP janani jakaliya luwum (left), head of the church of uganda from 1974, and one of the most influential leaders of the modern church in africa, with his assassin dictator idi amin, minutes before he was handed over to the firing squad and killed in kampala on 17 february, 1977. it was a common practice with amin to invite his vip victims to his residence in kampala before he got them shot.
View attachment 1213900
English grammar kwa sisi wa St. Kayumba ni issue, ungiongezea tunaishi Uswazi ndio kabisa, nisamehe bure kwa my poor English ila naamini ujumbe wangu umekufikia loud and clear.Halafu mtu kama Pascal anamsifia "homeboy" eti "good" president "Uganda" had ever had (sijui kama grammar ni sahihi kama alivyoitumia yeye Pascal Mayalla (to me, he should have written Tanzania has ever had)
Pascal, this is your wish! Nionyeshe mahali kwenye biblia ambapo inasema ukifanya mauaji/unyama and other atrocities kwa wanadamu , ukifanya mema yanafuta mabaya! Unadhani Lisu amesamehe, Ben amesamehe! Katoliki wanasema ukitaka kusamehewa rudisha ulichoiba! "umelogwa", sandarusi zote coco beach za maiti eti kuwafungulia Rugemalila na Habinder ndiyo zifute dhambi ya sandarus za maiti! "umelogwa akili" na JiweKiukweli kabisa atabarikiwa sana!. Wema kama huo na mwingine mwingi, unafuta dhambi zake nyingine zote hata kama ni yeye aliyeamrisha yale mambo yale ya kumpoteza yule dogo wetu humu au lile shambulio. Mizani ya mbinguni na peponi ni kiwango cha mema compared na mabaya, mema yakizidi tuu hata kwa nukta moja ni fasta peponi!. Wata watakuja kuwa very surprised kumkuta Osama, Saadam na Ghadafi peponi halafu Bush, Blair na Obama motoni!.
Karudie kusoma tena na tena kuhusu Karma.
Pascal Mayalla a.k.a PASKALI ameelezea vizuri namna karma ifanyavyo kazi, pia anakubali kuwa nduguyu ni mtawala wa kiimla, ila mzalendo.ukabila ni hatari sana
Nimekuelewa vyema Sana, mambo ya rohoni ni magumu kuliko rocket sciencePascal, this is your wish! Nionyeshe mahali kwenye biblia ambapo inasema ukifanya mauaji/unyama and other atrocities kwa wanadamu , ukifanya mema yanafuta mabaya! Unadhani Lisu amesamehe, Ben amesamehe! Katoliki wanasema ukitaka kusamehewa rudisha ulichoiba! "umelogwa", sandarusi zote coco beach za maiti eti kuwafungulia Rugemalila na Habinder ndiyo zifute dhambi ya sandarus za maiti! "umelogwa akili" na Jiwe
Mkuu Retired, kwanza huna haja ya kutumia lugha kali na ya machukizo dhidi yangu, mambo ya kulogwa akili na jiwe yametoka wapi?.Pascal, this is your wish! Nionyeshe mahali kwenye biblia ambapo inasema ukifanya mauaji/unyama and other atrocities kwa wanadamu , ukifanya mema yanafuta mabaya! Unadhani Lisu amesamehe, Ben amesamehe! Katoliki wanasema ukitaka kusamehewa rudisha ulichoiba! "umelogwa", sandarusi zote coco beach za maiti eti kuwafungulia Rugemalila na Habinder ndiyo zifute dhambi ya sandarus za maiti! "umelogwa akili" na Jiwe
nimeweka inverted marks kuonyesha siyo ile kulogwa tunayoijua. Nilimaanisha kupenda kulikopitiliza as if mtu amekuloga kiasi huna namna ya kujinasua............maana kulogwa tunasikia kuwa unafanya siyo wewe bali ni nguvu za giza.... ambazo hatuna uwezo nazo....kutumia lugha kali na ya machukizo dhidi yangu
Mauaji ya watu wasiokubaliana na fikira za watawala. different views on some issues unauawa!Retired zile maiti kwenye viroba kwani zinatoka wapi??
Leo mkuu umetema pumbaEnglish grammar kwa sisi wa St. Kayumba ni issue, ungiongezea tunaishi Uswazi ndio kabisa, nisamehe bure kwa my poor English ila naamini ujumbe wangu umekufikia loud and clear.
Kwenye uzi ule pia nimezungumzia karma, mbele ya karma, thamani ya roho ya mtu is equal regardless status yake katika jamii, hivyo pamoja na Dikiteta Iddi Amini Dada kumuua ARCHBISHOP Janani Jakaliya Luwum, lakini unaweza usiamini kumkuta Amini ameingia peponi kama karma ya uovu wake wote uliishafidiwa kwa kutimiliwa na wema alioufanya alipokuwa anaishi Saudi Arabia hadi mauti ilipomkuta, halafu unaweza usiamini utakao kutana nao Jehanum ya moto wa milele huku wengine ndio wakifanywa kuni!.
Toka day one nimesisitiza humu kuwa ni kweli homeboy wangu ni Dikiteta ila ni Dikiteta Mzalendo, a benevolent dictator, ukimuondoa JK aliyefanya wema kama ule kwa yale majizi ya epa, hakuna rais mwingine yoyote wa Tanzania amewahi kufanya wema mkubwa kama ule wa jana!.
Kiukweli kabisa atabarikiwa sana!. Wema kama huo na mwingine mwingi, unafuta dhambi zake nyingine zote hata kama ni yeye aliyeamrisha yale mambo yale ya kumpoteza yule dogo wetu humu au lile shambulio. Mizani ya mbinguni na peponi ni kiwango cha mema compared na mabaya, mema yakizidi tuu hata kwa nukta moja ni fasta peponi!. Wata watakuja kuwa very surprised kumkuta Osama, Saadam na Ghadafi peponi halafu Bush, Blair na Obama motoni!.
Karudie kusoma tena na tena kuhusu Karma.
P"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Wanabodi, Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya, anasema "namwachia Mungu!", au neno "Malipo ni hapa hapa duniani!". likitokea jambo zuri lolote watu hufurahi na kumshukuru Mungu, au likitokea jambo baya lolote, watu hufarijiana kuwa kusema hiyo ni "kazi ya Mungu!'...www.jamiiforums.com
Nadhani sio leo tuu, tangu nimejiunga jf, nimepandisha mabandiko zaidi ya 500 kwa wastani wa bandiko 1 kwa wiki kwa muda wa miaka 10, kati ya hayo mabandiko pumba zitakiwa nyingi tuu, kama hata watu kama Mzee Baba mwenyewe kuna wakati anamwaga pumba, ndio tutakuwa sisi?.Leo mkuu umetema pumba