1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,131
- 14,215
[emoji23][emoji38][emoji38]Nasikia unabaki kuuona mwili wako lakini huwezi ingia maana umetingishika 😀 😀 😀 😀 . na kwamba hakikisha umefunga milango,mtu akiingia akakutingisha ni kosa
Haya mambo ya kufikirika sidhani kama kuna anayeweza kuelezea tukamwelewa
No, it's a spiritual war, they are under dark entities as some of them are 200 fallen Angels and reptilians too. Once you are awake you will realise how this war is. We don't need weapons, we have spiritual guides and Ancestors. Under Anu.Amun the Most high. Wake upBush,rockafella,Rothschild,CIA,..these family run world,
To break this chain lazima kuwe na third world war.
Anyone could astral project, its a lucid dream, meaning you consciuosly control your dream and able to perform your abilities. Astral projection could be achieved by your guides, they are the ones allowing your dreams to happen.Nasikia unabaki kuuona mwili wako lakini huwezi ingia maana umetingishika 😀 😀 😀 😀 . na kwamba hakikisha umefunga milango,mtu akiingia akakutingisha ni kosa
Haya mambo ya kufikirika sidhani kama kuna anayeweza kuelezea tukamwelewa
Briefly tueleweshe kwa kiswahili Fasaha mana hizi ngoma mi sizielewi kabisa. .No, sikuvurugi, Ni utayari wako tu kuelewa.
Kama kiingereza unakijua vyema kwanini usikitumie chenyewe bila kuchanganya kiswanglish?Kuna tatizo gani kujua kuzungumza kiingereza ama lugha nyingine whether you are competent on it or not?.
Dunia hii usiiona Kama ilivyo. Kuna watu wapo nyuma ya pazia kwa kivuli Cha serikali walizounda wao na ku waweka wenzao, ili walinde maslahi yao, na kutufanya sisi wengine tusio jua kubaki Kama kondoo wa machungani. Wanaongoza chini ya nguvu Giza, kwani wengi wao Ni Kati ya malaika 200 waliotupwa duniani na shapeshifters(reptilians) vizazi vya shetani au draconians. Ndio wanaomiliki bank zote around the world, trains,bridges and industries. Wametengeneza system ya kutufanya kua watumwa wao kwa kufanya kazi na kuwalipa through bills(dollars). One has free himself and create his own free God will, and not the evil one we are into. Wanainginia virusi na magonjwa la AIDS,COrona,Ebola etc to vaccinate us and broke uor DNA into pieces. As they are all against humankind and God the Most high Anu.Amun.Briefly tueleweshe kwa kiswahili Fasaha mana hizi ngoma mi sizielewi kabisa. .
Ancestors are watching us, wengi wetu tumefundishwa kua watu wakifa Basi ndio Basi, wanaoza na Hadi mwisho ndio watafufuliwa. This is a biggest lie. Ancestors are your guides only when you rely on them they will show up. Kupitia meditation and channeling you will hear them and even in your dreams. They are in different animals shape as angels on birds ancestors are on butterfly's form and other flying creatures.Conspiracy theories Luckily I'm Comp Enthusiast.
Tell me babu zako aliyekufa miaka kadhaa atakusaidia vipi na mabadiriko haya ya teknlojia..
Bado tunarudi kulekule Dark Dimension can Inflating your meditation coz Your spiritual awakening doesn't have God's Back Up
Naomb ni dm mrAnyone could astral project, its a lucid dream, meaning you consciuosly control your dream and able to perform your abilities. Astral projection could be achieved by your guides, they are the ones allowing your dreams to happen.
Haya mafunzo unatusaidiaje sisi beginnersNadhani bado hamjaelewa astal projections ni nini
Astral projection ni ile hali ya mtu kutengana na mwili wake kimawazo pili katika ulimwengu wa ndoto hakuna majinamizi kuna loho chafu Mara nyingi loho hizi chafu utaziona pale inapotokea vita kati ya malaika na hao loho wachafu vita hivi huwa ni vikubwa sana utakapo ona vita hiyo unatakiwa uondoke maana utakuwa na uwoga mwingi sana .utaweza kutarii katika sehemu mbalimbali ila katika vitu vyote mwanadamu ananguvu kubwa sana kuliko majini Ila mpaka kipindi utakapo jua kuzitumia kwa sababu astral sio kwenda kutarii tu kunakujifunza vitu vingi.kuhusu mtu kumwona marehem au mtu aliewahi kufa ni ngumu sana labda utumie meditation ili roho yake uiite nayo itakuja ila by using astral mpaka uwe mzoefu sana lasi hivyo hutoweza
.kuhusu swala la mtu kuja kukutikisa alafu ufe kwakweli haiwezekani labda uwe ndo siku uliyo pangiwa msiwe waoga nyie ndio wajenzi wa hii dunia ukifanikisha utajifahamu wewe ni nani na unatakiwa ufanye nini.kuhusu swala LA kufanya miujiza ni ngumu labda uwe unafanya meditation kwa kutumia astral inawezekana ila usizuru watu au kuzionyesha maana nguvu hizi ni kubwa sana hazina kiwango mfano kufaham mambo yanayokuja mbeleni kubwa na speed like the flash or sonic ,macho kuwa yanatoa mwanga, mikono kuwa na nguvu zisizo za kawaida, na kuwa na nguvu za kuelea angani,kupoterea (teleport), kuwa mbunifu,kuwa na uwezo wa kuponya jeraha na isibaki hata alama ndani ya sekunde moja ukiwa na nguvu majini wala wachawi hawata kusogerea nguvu ya mwisho kabisa ambayo hata ufight vipy kuipata tz ni kumfufua marehemu hii mungu anajua siri pekee hata maraika ukiwauliza watakwambia hii huruhusiwi kuifahamu maana itatumika vibaya kama baadhi ya wanadam wanaoitumia nguvu hiyo kwa kutumia majini sio jambo zuri kabisa maana kuna baadhi ya majini ambao mungu aliwapa nguvu za kuamsha wafu na hata baada ya kufukuzwa mbinguni waliachiwa nguvu hizo ingawa sio kwa kiwango kikubwa ni kwa kiwango kidogo sana na baadhi walinyang'anywa kabisa nitaendelea kuwajuza mengi zaidi ingawa kuna watu mnakata tamaa baada ya kuongopeshwa kwa maneno ya watu pia kuna wengi mlijalibu hamkufanikisha wengine mlijalibu mkahisi kiu mkameza mate kuna baadhi uzalendo uliwashinda mkajigeuza ASANTENI SANA TUTAKUTANA KWA AJIRI YA MAFUNZO ZAID