Arabs deserves it.

Arabs deserves it.

Status
Not open for further replies.

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,377
Muamar Gaddaf funded Nicolas Sarkozy for the French Presidency. When Sarkozy was the president of France, he led allied forces to remove Gaddafi from Power and later being killed as they did to Saddam so as to hide their secret dealings.
Nicolas Sarkozy DID take $50 million of Muammar Gaddafi's cash, French judge is told - Europe - World - The Independent

index.jpg

Saadam Hussein was betrayed by all his Arabs brother in all Gulf wars.

All arabs were happy watching Syria dis-integrate.

Many arabs country have stood aside watching tyranny come into power in Egypt.

After all these pillars have been downed, now they are Massacred like pigs in Gaza. They are impotent that they just stand aside and watch.

Last edited by a moderator:
Every launch of an "Iron Dome" missile is thoroughly investigated by the system's database team. IAF Site takes you inside the advanced air defense system
The Israeli Air Force : Inside the "Iron Dome" System

Inside the "Iron Dome" System
During Operation "Pillar of Defense" an interception rate of 84% was recorded thanks to the "Iron Dome" system. Today, less than two years later, the system is already recording a success rate of over 90%
IAF.CO.IL

Na ndiyo maana watu wanasema waarab ni wanafiki there's a reason. You just can't trust Arabs.
 
Hivi watu wanao itwa kondoo waliopotea na Yesu unadhani watakuwa binadamu kweli. Sa si ajabu kuona kondoo wakiafrika wamekuwa makondoo wa kiyahudi tena.
 
Na ndiyo maana watu wanasema waarab ni wanafiki there's a reason. You just can't trust Arabs.

ndio wemeambukiza tabia ya unafiki hadi kwa watu wenye asili ya pwani mwa tz.

Ni kweli kabisa.

Nadhani mkiisoma hiyo post kwa umakini na kichwa kilocho huru, nadhani mtagundua kati ya Waarabu na Wazungu, ni kina nani wana stahili kuitwa wanafiki wa kwanza halafu, waarabu. Kwa Lugha rahisi wote ni wanafiki, na wote sio watu wa kuwaamini katika dhana nzima ya Urafiki.

Wamerekani wao wanasema, hawana Rafiki wa Kudumu wala Adui wa kudumu, ila wana Maslahi ya kudumu. Kwahiyo usimtrajie kua nae wakati wa shida, ila yeye akiwa na shida ndio atakua rafiki yako, kama ambavyo ndugu zetu wahindi wanavyofanya kwa uwazi wazi!

Waarabu wao katika hali ya kupenda starehe, mali na madaraka au ufalme, huweza kumsaliti mtu yoyote awe ndugu au rafiki ilimradi mkono uwende kinywani kama mlivyo ona Alivyo salitiwa Saadam Husein na watoto wake, na Kanal Muamar Gaddafi na Watoto wake.

Hivi leo Wamerekani na NATO, wamesha ondoka, wanauwana wenyewe kwa wenyewe kule Iraq na Libya.
 
Muamar Gaddaf funded Nicolas Sarkozy for French Presidency. When Sarkozy was the president of France led allied forces to remove Gaddafi from Power and later being killed like they did to Saddam to hide their secrets dealings.
Nicolas Sarkozy DID take $50 million of Muammar Gaddafi's cash, French judge is told - Europe - World - The Independent

View attachment 173970

Saadam Hussein was betrayed by all his Arabs brother in all Gulf wars.

All arabs were happy watching Syria dis-integrate.

Many arabs country have stood aside watching tyranny come into power in Egypt.

After all these pillars have been downed, now they are Massacred like pigs in Gaza. They are impotent that they just stand aside and watch.

Hahaahaaa! Kwa mtaji huu, si uandike Kiswahili tu!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaahaaa! Kwa mtaji huu, si uandike Kiswahili tu!!

Jibu kwa kingereza na unaweza kuonyesha wapi nime kosea ili uwezo wako uonekane. Vinginevyo kaa kimya, tuendelee na mada. Do not forget that, this is international forum.

Whoever looks for faults, find no other! Labda nikusaidie, nimejaribu kuedit error za kimsingi, ila title hua ukikosea huwezi kuibadilisha, na huo ni moja kati ya mapungufu ya Media yetu hii Adhimu. Other wise, sidhani kama ujumbe umeshindwa kuuelewa, kwani sidhani hata hicho kiswahili niko sahihi 100%. Mara nyinyi kila ninapo rudia kukisoma nahisi nahitaji kubadilisha kitu flani ili nieleweke zaidi.

I hope, I have laid this matter to rest, now lets go back to the discussion. Thanks for the observation anyway!
 
Nadhani mkiisoma hiyo post kwa umakini na kichwa kilocho huru, nadhani mtagundua kati ya Waarabu na Wazungu, ni kina nani wana stahili kuitwa wanafiki wa kwanza halafu, waarabu. Kwa Lugha rahisi wote ni wanafiki, na wote sio watu wa kuwaamini katika dhana nzima ya Urafiki.

Wamerekani wao wanasema, hawana Rafiki wa Kudumu wala Adui wa kudumu, ila wana Maslahi ya kudumu. Kwahiyo usimtrajie kua nae wakati wa shida, ila yeye akiwa na shida ndio atakua rafiki yako, kama ambavyo ndugu zetu wahindi wanavyofanya kwa uwazi wazi!

Waarabu wao katika hali ya kupenda starehe, mali na madaraka au ufalme, huweza kumsaliti mtu yoyote awe ndugu au rafiki ilimradi mkono uwende kinywani kama mlivyo ona Alivyo salitiwa Saadam Husein na watoto wake, na Kanal Muamar Gaddafi na Watoto wake.

Hivi leo Wamerekani na NATO, wamesha ondoka, wanauwana wenyewe kwa wenyewe kule Iraq na Libya.

Wanafiki wa kwanza ni waarab, hii wala halina upinzani. Mwarab anakuthamini akiwa nchi ya kigeni na kama hana mwarab mwenzake karibu then atakuona wa maana. Thubutu aje mwenzake utashangaa atakavyo kubagua. Mzungu yuko straight forward kama hataki kudeal na wewe utajuwa tu ila mwarab sawa na myahudi wao wana urafiki wa panya kwani panya anakupuliza vidole huku akikutafuna siku unashituka kidole kimebaki kidogo tena na fungus bado kuanguka tu. Mwarab si mtu hata iweje, ni wanafiki sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom