mchillo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 500
- 225
Jamani sisi ni Great Thinkers, sasa udini wa nini hapa? Tunazungumzia kimya cha waarabu kwa mauaji yanayofanywa na Bashir el Assad kwa watu wake, tutafakari ki Great Thinker ili tuelewe kulikoni kimya hicho na si kuanza kukosoana kiimani.Dini ya jumlisha iko wapi au hakuna mafuta ndo maana hawasemi
Ukweli ni kwamba Marekani inalipa fadhila kwa Hayati Baba wa kijana huyu ambaye alikubuhu kwa ukibaraka kwa Marekani na nchi za magharibi kiasi cha kuitwa 'Rafiki yetu'. Binafsi sioni sababu za kumwadhibu Gadaffi eti kwa mauaji ya watu wake wakati huyu Assad anafanya hivyohivyo bila kukemewa!