Arabs and Muslims' Silence on Syria is Unacceptable!!

Status
Not open for further replies.

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Posts
9,539
Reaction score
5,923
syria-articleLarge.jpg

Syrian-children-carry-pic-007.jpg
t1larg.jpg

20115319920433784_20.jpg
646x.jpg

[h=1]Hamza Al Khatib a Syrian Martyr[/h]Thursday, 17 June 2011

By Nadia Idriss Mayen
Al Arabiya with Agencies

http://www.alarabiya.net/save_pdf.php?cont_id=151580http://www.alarabiya.net/save_print.php?print=1&cont_id=151580javascript:void(0)
http://www.alarabiya.net/rss/rss_top08.xmlhttp://www.facebook.com/sharer.php?...80.html&t=Hamza Al Khatib a Syrian Martyrhttp://twitter.com/home?status=Hamz...alarabiya.net/articles/2011/06/02/151580.htmlhttp://digg.com/submit?phase=2&...tml&title=Hamza Al Khatib a Syrian Martyr

Hamza al-Khatib, a 13-year-old boy’s body was returned to his family last Wednesday after he was arrested by security officials a month ago in the Dara'a region of Syria.

Hamza’s body was examined by doctors who said that it showed signs of torture and there were gunshot wounds to the head and arm. The marks and bruises on his body indicate that he may have been beaten with sticks and shoes. The boy was also said to be dismembered before he was killed

Bakwata mko wapi, wananchi wasio na hatia wanachinjwa na Assad lakini mmekaa kimya.
 
US wakituma majeshi tu basi kesho maandamano dunia nzima. Lakini sasa hivi huyo Al Assad ataendelea kuwachinja na kuwaua watu wake atakavyo
 
Jumuiya ya kiarabu ni vibaraka wa watu wa magharibi wapo kimya kumlinda Rais ambaye ni kibaraka wa marekani,hawana tofauti na BAKWATA Tanzania ambao ni vibaraka wakubwa wa serikali ya CCM wapo kwa ajiri ya kutukandamiza sisi muslim tangia enzi za uhuru,sasa ndiyo tumekuja kushtuka,waislam wenzangu safi na waliosoma elimu zote watakubaliana na mimi,wakumbuke hao viongozi,KULU NAFS DHAI KATUR MAUT
 
Hali ya Syria inasikitisha sana
 
It is only when you mix politics and religion. Now, where is allah?
 
Mimi sishangai kwa hili. Kuhusu suala la Palestine wamekuwa kimya kwa miaka mingi sana.
 
Hali ya Syria inasikitisha sana

Rafiki zangu wa Syria nilionao hapa wanasema nchi yao inatengwa na Waarabu wengine kwa vile, Kiongozi wao yupo modern halafu ni wa dhehebu la Shia. Wanasema wana uhakika angekuwa Sunni, wangekuwa hata wameisaidia Syria dhidi ya Israel kwenye ugomvi wao juu ya Golan heights.
Anyway, labda ni hisia zao tu.
 
Mkuu, Palestina tukumbuke hakuna mafuta

Palestine is not a sovereign state. They don't have the army. They don't have their own currency, they actually use Israel's shekels. They don't have Passport. So, what is Palestine? They even don't have a citizenship.
 
Rafiki zangu wa Syria nilionao hapa wanasema nchi yao inatengwa na Waarabu wengine kwa vile, Kiongozi wao yupo modern halafu ni wa dhehebu la Shia. Wanasema wana uhakika angekuwa Sunni, wangekuwa hata wameisaidia Syria dhidi ya Israel kwenye ugomvi wao juu ya Golan heights.
Anyway, labda ni hisia zao tu.

Ahamedinajad ni Shia, basi hata yeye amekuwa bubu wananchi hawa wanavyouawa? Ikumbukwe kuwa wanaouawa ni waislam kama waislam wengine kokote duniani na wanahitaji mtu wa kumkemea Al Assad ili aache kuendelea kuwachinja hawa raia wasiokuwa na hatia
 
ukitaka kujua unafiki basi hii issue ya Syria ndio imeonyesha dhahiri
 
Ahamedinajad ni Shia, basi hata yeye amekuwa bubu wananchi hawa wanavyouawa? Ikumbukwe kuwa wanaouawa ni waislam kama waislam wengine kokote duniani na wanahitaji mtu wa kumkemea Al Assad ili aache kuendelea kuwachinja hawa raia wasiokuwa na hatia

Ndio. Ahamedinajad ni Shia. Lakini sio mwarabu. Kwa waarabu wenyewe, cha kwanza katika umoja wao kabisa ni uarabu (japo kibano kikizidi huwa wanaomba misaada kwa waislam wote). Hawa jamaa nilionao hapa wao wenyewe ni Sunni, na mtazamo wao ni kupata msaada na ushirikiano kutoka kwa waarabu. Ahamedinajad ni muislam, lakini si mwarabu, na kibaya zaidi yeye ni Shia.

Isitoshe kwa upande mwingine, Sehemu yoyote ambayo Ahamedinajad ata-support, automatically itageuka kuwa an enemy of the West. Na nadhani hata Assad analijua hilo. Iran ikiingia tu Syria, utasikia NATO wamepata kibali cha UN kulinda raia.
 
Nimekupata na ahsante sana kwa hizo facts kwani nilikuwa najua kuwa Iranians are arabs, kumbe they are not!
Kwa hiyo ni sababu zipi zilifanya watu waandamane hapa mjini kuhusu issue ya Libya?
 
Ahamedinajad ni Shia, basi hata yeye amekuwa bubu wananchi hawa wanavyouawa? Ikumbukwe kuwa wanaouawa ni waislam kama waislam wengine kokote duniani na wanahitaji mtu wa kumkemea Al Assad ili aache kuendelea kuwachinja hawa raia wasiokuwa na hatia
Mbele ya Mungu, ninaamini dini zote zinasema wanaofuta amri za Mungu wana haki sawa. Na kwenye international politics na UN human right declaration wanadai all men are created equal.

Kwa uzoefu wangu, hii ni tofauti sana "in practice".
utaona watu mpo dini moja lakini mnadharauliana. Hii ipo dini zote. Japo watu hawataki kukiri. Mbele ya Mungu mtu aliye Rwanda au Papua New guinea ana haki sawa na aliye ufaransa au Uingereza. Hiyo ni according to maandiko na imani. Lakini "in practice" utaona kunakuwa na "unequal treatment". Si ajabu kumwona mwarabu wa maana zaidi kuliko mndengereko hata kama wote mpo dini moja. Hii ipo TZ na ipo duniani kote.
 
Again, thanks for your good analysis. Ulichosema (unequal treatment among believers) ni ukweli na kipo ktk dini zote.
 
Nimekupata na ahsante sana kwa hizo facts kwani nilikuwa najua kuwa Iranians are arabs, kumbe they are not!
Kwa hiyo ni sababu zipi zilifanya watu waandamane hapa mjini kuhusu issue ya Libya?
Kwenye nchi kavu, Iran inapakana na moja tu ya kiarabu ambayo ni Iraq. Imetenganishwa kwa bahari na nchi kama Saudia, UAE, Qatar, Oman na Bahrain. Hizi zote ni nchi za Kiarabu. Majiran zake wengine ni Turkey, Turkmenistan, Afghanistan, Pakistan na Azerbaijan. Hizi pamoja na Iran wenyewe sio waarabu, ila ni largely Shia muslims.

Sababu za kuandamana kwa kweli siwezi kujua. Hasa kwa vile sipo Tanzania kwa sasa. Ila kwa uzoefu wangu, siku zote kwenye maandamano, kunakuwepo na watu wachache wenye uchungu fulani na wanajua ukweli fulani. Hao wachache, husukumwa na uchungu ukweli huo, na si lazima uchungu huo uwe umesababishwa na jambo wanalo andamania. Mara nyingine huwa ni kwamba wamepata sababu ya kuandamana na kuonesha uchungu wao ambao unaweza kuwa ulisababishwa na jambo lingine kabisa. Wachache hao wanye uchungu wa kweli, wakiwa na ushawishi mkubwa, basi hupata wafuasi ambao ndio wanakuwa sehemu kubwa ya wanaoandamana.
Lakini kama nilivyosema, siwezi kujua hasa maandamano ya Tz kwa vile sipo TZ kwa sasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom