mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,834
- 3,530
Naam, ingawa bado maswali ya wadau hapo juu hayakujibiwa
Naam, ingawa bado maswali ya wadau hapo juu hayakujibiwa
Halafu unasingizia hakuna Ajira au ajira ngumu😀😀😀😃Nimefungua kufanya nikakuta hesabu niliacha bila kufanya
Habari za hapo TRA mkuuHalafu unasingizia hakuna Ajira au ajira ngumu😀😀😀😃
TRA ipi? Tupeane michongo mkuuHabari za hapo TRA mkuu
Hizo hesabu ni za level ipi?Nimefungua kufanya nikakuta hesabu niliacha bila kufanya
Hesabu za kawaida tu, ukiwa vizuri unafanya ila sio mimi..... na zinahitaji kufikilia sana na muda huo kuna saa hapo juu inahesabu.Hizo hesabu ni za level ipi?
Sijasingizia sehemu ila kama kwenye ajira lazima nifanye test ya math iyo ajira sitaki .Halafu unasingizia hakuna Ajira au ajira ngumu😀😀😀😃
Jamaa wauaji sana kwa hilo 😂😂😂 Sie ambao hesabu sio rafiki sijui itakuwajeTest zao huwa ni generic yaani ukifeli mara moja basi ndo nitolee hiyo wanakupiga ban kabisa kwenye database yao usiombe tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Pepa moja mtu 4Kuna washkaji tulikua tunatafuta kazi na wao hawakujua hata kama kuna kampuni inaitwa alistair. Nikawajulisha ishu ilivyo na test yangu ailikuaje.
Daa wakaniambia ngoja tuandae kamati wakawa wanafanya mtihani mmoja watu wanne. Maswali mengine wana google aisee walipita mtihani ule kama wamesimama
Kikubwa mkuu usitegemee google ya kichwa chako ingia na google yenywe
Hawataki kujihusisha na vilaz.a kabisaJamaa wauaji sana kwa hilo 😂😂😂 Sie ambao hesabu sio rafiki sijui itakuwaje
Unaweza kutumia kutobolea na kunyooshea mstari, kuoneshea kitu😂. (pointing, drilling, line drawing)Mbali na kazi ya kalamu ya kuandika, je unaweza kuitumia kalamu hiyo hiyo kwa kazi gani nyingine?
Swali hilo.
Ngoja niongee na mwanangu mmoja ambaye hesabu hazijamtupa sana. Siku wakinipa link namuibukia tu.Hawataki kujihusisha na vilaz.a kabisa
Ngoja niongee na mwanangu mmoja ambaye hesabu hazijamtupa sana. Siku wakinipa link namuibukia tu.
hahahah nimecheka kinoma mkuu,.kwahio hukutaka shida na mtu kabisaNimefungua kufanya nikakuta hesabu niliacha bila kufanya
Huu ni uhaini tu sawasawa na ule wa kuikosesha serikali mapato kwa makusudi. Kuna kitu kinaitwa Skills Gap. Dawa ya hili tatizo ni special employee development programs tu..Mtu ukitaka kumuajiri mpe training tu kwanza.Sijasingizia sehemu ila kama kwenye ajira lazima nifanye test ya math iyo ajira sitaki .