Aptitude test ya Alistair group

Kuna washkaji tulikua tunatafuta kazi na wao hawakujua hata kama kuna kampuni inaitwa alistair. Nikawajulisha ishu ilivyo na test yangu ailikuaje.
Daa wakaniambia ngoja tuandae kamati wakawa wanafanya mtihani mmoja watu wanne. Maswali mengine wana google aisee walipita mtihani ule kama wamesimama
Kikubwa mkuu usitegemee google ya kichwa chako ingia na google yenywe
Pepa moja mtu 4
 
Sijasingizia sehemu ila kama kwenye ajira lazima nifanye test ya math iyo ajira sitaki .
Huu ni uhaini tu sawasawa na ule wa kuikosesha serikali mapato kwa makusudi. Kuna kitu kinaitwa Skills Gap. Dawa ya hili tatizo ni special employee development programs tu..Mtu ukitaka kumuajiri mpe training tu kwanza.

Ndio maana kampuni zinazojielewa wanachukuaga graduates wanawapa training ya miezi mitatu mpaka sita kisha wanawapa mikataba. Huo ndio uungwana ila kukomoana na maswali ya hesabu hio sio sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom